Ajja's Insurance

Ajja's Insurance Ajja's ni wakala wa Bima, tuna kata bima za aina zote kadhalika tunatoa elimu kuhusu Bima.

Tuna shirikiana na Britam katika kukupa huduma iliyo bora kwa uharaka na urahisi.

Muhimu kutaka bima ya Chombo chako cha Moto, Huwisha,Kata bima yako na AJJA'S INSURANCE
28/03/2021

Muhimu kutaka bima ya Chombo chako cha Moto, Huwisha,Kata bima yako na AJJA'S INSURANCE

Kata Bima ya gari lako na Ajja's Insurance Tupigie: 0652 726103
25/01/2021

Kata Bima ya gari lako na Ajja's Insurance Tupigie: 0652 726103

✍Kwa asilimia kubwa moto husababishwa na shughuli za kila siku za binadamu, na kwa kiasi kidogo na majanga ya asili. Baa...
21/01/2021

✍Kwa asilimia kubwa moto husababishwa na shughuli za kila siku za binadamu, na kwa kiasi kidogo na majanga ya asili. Baadhi ya sababu za matukio ya moto ni:-

☑️ Uzembe / Kujisahau
☑️ Ujinga
☑️ Hujuma
☑️ Hitilafu za Umeme
☑️ Ajali za Barabarani
☑️ Radi
☑️ Milipiko nk

Ili kuzuia moto🔥 ni vyema kuwa makini na shughuli zetu za kila siku.
Kwa mahitaji ya Bima ya Moto usisite kuwasiliana nasi tutakushauri na kukuhudumia haraka iwezekanavyo. Karibu Ajja's Insurance

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255769727219

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ajja's Insurance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ajja's Insurance:

Share