Letshego Faidika Bank

Letshego Faidika Bank Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Letshego Faidika Bank, Finance, Ursino Estate, Dar es Salaam.

Letshego is an African multinational organization that focuses on delivering inclusive financial solutions underserved populations across its sub-Saharan Africa footprint

28/08/2026

Ah, ingekuwa kweli ingekuaje? Ila AI 😂😂

Boss, ndoto yako iko karibu kuliko unavyofikiri!Tunakukopesha hadi 70% ya thamani ya gari na masharti sio magumu. Swipe ...
27/08/2026

Boss, ndoto yako iko karibu kuliko unavyofikiri!

Tunakukopesha hadi 70% ya thamani ya gari na masharti sio magumu. Swipe ujionee mwenyewe 👉🏾

25/08/2026

Letshego Faidika Bank inawatakia Waislamu wote na watanzania kwa ujumla Sikukuu njema ya Maulid al-Nabi.

Tunawaombea amani, baraka na upendo kwa nyote.

Tunajumuika nanyi kusherehekea Sikukuu ya Maulid al-Nabi. Matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa siku ya leo, ila huduma z...
25/08/2026

Tunajumuika nanyi kusherehekea Sikukuu ya Maulid al-Nabi.

Matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa siku ya leo, ila huduma zetu za kibenki zinaendelea kupatikana kupitia ATM’s, Letshego Mobile, Digital Mall na LetsGo App.

Piga 022 222 5000 kwa msaada wowote.

Tunajumuika nanyi kusherehekea Sikukuu ya Maulid al-Nabi. Matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa leo, Jumanne tarehe 26 Ag...
25/08/2026

Tunajumuika nanyi kusherehekea Sikukuu ya Maulid al-Nabi.

Matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa leo, Jumanne tarehe 26 Agosti 2026. Huduma zetu za kibenki zinaendelea kupatikana kupitia ATM’s, Letshego Mobile, LetsGo WAKALA, Digital Mall na LetsGo App.

Piga 022 222 5000 kwa msaada wowote.

Pesa yako inafanya kazi ukiwa umelala?Na LetsGo Flexi Term (FDR), weka akiba yako kwa muda maalum na upate riba hadi 13%...
24/08/2026

Pesa yako inafanya kazi ukiwa umelala?

Na LetsGo Flexi Term (FDR), weka akiba yako kwa muda maalum na upate riba hadi 13% kwa mwaka.

Piga simu: (+255) 22 222 5000 kufahamu zaidi.



Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Pesa yako isikae bure, ikuze na Akaunti ya Flexi Dunduliza!Akiba yako inakupa riba hadi 10% kwa mwaka. Hakuna masharti m...
20/08/2026

Pesa yako isikae bure, ikuze na Akaunti ya Flexi Dunduliza!

Akiba yako inakupa riba hadi 10% kwa mwaka. Hakuna masharti magumu, anza na TZS 20,000 tu, weka kwa wakati wako, toa unapohitaji. Kadri unavyoweka zaidi, ndivyo unavyopata zaidi.

Fungua akaunti yako leo, tembelea tawi lolote la Letshego Faidika Bank, au piga 022 222 5000.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Pesa yako inaweza kukufanyia kazi zaidi.Weka amana ya muda maalum (yaani FDR) na upate riba hadi 13% kwa mwaka. Hakuna w...
12/08/2026

Pesa yako inaweza kukufanyia kazi zaidi.

Weka amana ya muda maalum (yaani FDR) na upate riba hadi 13% kwa mwaka. Hakuna wasiwasi, pesa yako inakua wakati wewe unaendelea na maisha yako.

Tembelea tawi lolote la Letshego Faidika Bank au piga simu 022 222 5000.

Kila safari kubwa huanza na hatua ndogo ndogo.Fungua Akaunti ya LetsGo Flexi Dunduliza kwa TZS 20,000 tu na uanze kujeng...
11/08/2026

Kila safari kubwa huanza na hatua ndogo ndogo.

Fungua Akaunti ya LetsGo Flexi Dunduliza kwa TZS 20,000 tu na uanze kujenga akiba yako leo. Weka pesa kulingana na uwezo wako, na kadri akiba yako inavyokua, riba yako inakua zaidi, hadi 10%.

Hakuna masharti magumu. Hakuna kikomo cha muda. Ni akiba rahisi inayofanya kazi kwa ajili yako.

Tembelea tawi lolote la Letshego Faidika Bank au piga simu 022 222 5000.

Address

Ursino Estate
Dar Es Salaam
P.O.BOX34459

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Letshego Faidika Bank posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Letshego Faidika Bank:

Shortcuts

Share

Category