Mkombozi Commercial Bank Plc

Mkombozi Commercial Bank Plc (MKCB) was found in 2009 by Roman Catholic Church and its Institutions. The bank was established as a local initiative to support the emerging small medium and large Tanzanian businesses for provision of financial services. In order to strengthen the financial position of the bank, the founder members invited local individuals to join hands. The bank’s target markets are small and medium sized entrepreneurs, companies and SACCOS.

28/08/2026

Mipango yako ni mikubwa? Usiweke kikomo kwenye ndoto zako.
Kwa Mtumishi wa Sekta ya Umma, Mkombozi Bank imeboresha fursa ya mkopo ili kukupa nafasi ya kupanga na kutekeleza ndoto zako.

Kutoka TZS milioni 150 hadi TZS milioni 200, Mkombozi Commercial Bank imeongeza kiwango cha fedha unachoweza kupata ili ...
27/08/2026

Kutoka TZS milioni 150 hadi TZS milioni 200, Mkombozi Commercial Bank imeongeza kiwango cha fedha unachoweza kupata ili kukupa nafasi zaidi ya kutimiza mipango na ndoto zako ukiwa na hadi miaka 12 ya kurejesha.

26/08/2026

Mtumishi wa Umma! Una ndoto kubwa zinazohitaji hatua kubwa?

Mkombozi Bank inakuwezesha kusonga mbele kwa mkopo wa hadi TZS milioni 200, wenye marejesho hadi miaka 12. Iwe ni;
✅Kuendeleza biashara
✅Kujenga
✅Kuwekeza
✅Kutimiza mipango na ndoto muhimu za maisha
MKCB inakupa nafasi ya kuanza sasa.

Heri ya Sikukuu ya Maulid! 🤲🏽Tunawatakia wewe na familia yako siku njema iliyojaa amani, upendo, furaha na baraka tele. ...
25/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Maulid! 🤲🏽

Tunawatakia wewe na familia yako siku njema iliyojaa amani, upendo, furaha na baraka tele. 🌙



📢 TAARIFA KWA WATEJA WETUTunapenda kuwataarifu kuwa matawi yote ya Mkombozi Commercial Bank hayatakuwa wazi kesho, Juman...
24/08/2026

📢 TAARIFA KWA WATEJA WETU

Tunapenda kuwataarifu kuwa matawi yote ya Mkombozi Commercial Bank hayatakuwa wazi kesho, Jumanne, 25 Agosti 2026, kutokana na maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid.

Tunawatakia wateja wote Maulid Njema yenye baraka na amani.


Rafiki, Kuna mipango unayotaka kuifikia? Sasa una nafasi zaidi ya kuifanya iwe kweli.Watumishi wa Sekta ya Umma wanaweza...
24/08/2026

Rafiki, Kuna mipango unayotaka kuifikia?
Sasa una nafasi zaidi ya kuifanya iwe kweli.

Watumishi wa Sekta ya Umma wanaweza kunufaika na mkopo wa hadi TZS milioni 200, wenye marejesho ya hadi miaka 12 na riba nafuu na shindani.
Anza kupanga maisha unayoyataka sasa.



Rafiki..! Tembelea Mawakala wa Mkoa wa Kahama na upate Huduma zetu za Kibenki ambazo ni;✅Kufungua akaunti✅Kuweka na kuto...
22/08/2026

Rafiki..! Tembelea Mawakala wa Mkoa wa Kahama na upate Huduma zetu za Kibenki ambazo ni;

✅Kufungua akaunti
✅Kuweka na kutoa pesa
✅Kulipia bili mbalimbali
✅Kulipa Zaka
✅Kukata Bima

21/08/2026

CAPTION; Rafiki, endelea kufurahia weekend yako bila usumbufu! Mambo ya fedha yaachie Mkombozi Bank. Fanya miamala yako kwa urahisi na usalama zaidi kwa Ku-Scan & Pay.





20/08/2026

Rahisisha matumizi na usimamizi wa fedha zako kwa Personal Current Account ya Mkombozi Bank.
Furahia;
✅Kufanya malipo kwa Hundi
✅ATM card inayokupa urahisi wa kupata fedha 24/7.
✅Huduma za Intaneti
✅Huduma za mobile banking



Rafiki! Usipoteze muda kwenye malipo, tumia mfumo wa kisasa wa malipo unaokuwezesha kulipa Ada yako kwa urahisi na usala...
19/08/2026

Rafiki! Usipoteze muda kwenye malipo, tumia mfumo wa kisasa wa malipo unaokuwezesha kulipa Ada yako kwa urahisi na usalama.



Address

Plot No. 40, Mansfield Street
Dar Es Salaam
CELL:+255767301207

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255800750040

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkombozi Commercial Bank Plc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mkombozi Commercial Bank Plc:

Shortcuts

Share