29/08/2026
Katika kuendelea kukusaidia kufanya uamuzi sahihi, na kupata kontena bora kwa matumizi yako, Harlos Kontena tunaendelea kukuelimisha juu ya kontena na aina zake.
Tukutane Samia Construction Sector Week pale Mlimani City tukitoa elimu na ushauri kuhusu uchaguzi na matumizi mbalimbali ya kontena
๐๏ธ 01โ04 Septemba 2026
โฐ Saa 2:00 asubuhi โ 12:00 jioni
๐ Mlimani City Conference Hall, Dar es Salaam