27/08/2026
Kila dakika ni muhimu unapohitaji matibabu ya dharura.
Tunarahisisha safari yako ya kuelekea kupata matibabu bora kupitia huduma zetu za ambulance.
Jiunge na familia ya Strategis Insurance leo ili ufurahie huduma za afya zisizo na wasiwasi.
Tupe nafasi ya kukuhudumia:
📞+255 755 772 111 / +255 782 700 800
📧[email protected]
🌐 www.strategis.co.tz