Equity Bank Tanzania

Call Directions Website Contact the business

Equity Bank Tanzania Official page for Equity Bank Tanzania – We’re here to provide customer support, share news & updates. Mon-Fri 8:30AM - 5PM & Sat 8:30AM - 1PM [GMT+3]
(205)

Equity Bank Tanzania is a Bank of Tanzania approved Financial Service provider. Since commencement of operations in Tanzania on 9th February 2012, opened nine Branches namely: Arusha, Golden Jubilee, Kariokoo, Mbagala, Mwanza, Mwenge, Prestige/Supreme Center and Quality Center as we plan to have a presence Country wide in the short and medium term. We have, so far, over 330 agents countrywide OUR PURPOSE
Transforming lives, giving dignity and expanding opportunities for wealth creation. See below what it reads:


OUR VISION
To be the champion of the socio-economic prosperity of the people of Africa. LAUNCHED: 9th February 2012

CONTACTS
EMAIL: [email protected]
WEBSITE: http://tz.equitybankgroup.com/

Make every journey more memorable with your Equity Mastercard. ✈️🌍Enjoy up to USD 200 OFF when you book your Emirates fl...
23/09/2026

Make every journey more memorable with your Equity Mastercard. ✈️🌍

Enjoy up to USD 200 OFF when you book your Emirates flight at emirates.com/tz using your Equity Mastercard and promo code TZMSC26.

Pack your bags, create endless memories, and travel with more value.

T&Cs apply.






Mastercard

23/09/2026

Rudi nasi katika kumbukumbu za Equity Waitara Trophy 2026!

Kuanzia mwanzo wa mchezo uwanjani Lugalo, mahusiano ya kibiashara, hadi jioni ya hotuba, vyakula, vinywaji na hatimaye kukabidhiwa kwa vikombe kwa washindi siku hii ilikuwa ni mfano halisi wa jinsi gofu linavyounganisha wachezaji, viongozi wa biashara, wajasiriamali na wataalamu.

Asante kwa kila aliyeshiriki kufanya siku hii kuwa ya kipekee.


Benki ya Equity Tanzania, kwa ushirikiano na Graça Machel Trust, iliendesha Kikao cha Elimu ya Fedha chenye matokeo chan...
23/09/2026

Benki ya Equity Tanzania, kwa ushirikiano na Graça Machel Trust, iliendesha Kikao cha Elimu ya Fedha chenye matokeo chanya katika hoteli ya Southern Sun tarehe 17 Septemba 2026, kikiwakutanisha wajasiriamali na wamiliki wa biashara 28.

Kikao hicho kililenga usimamizi wa fedha, ukuaji wa biashara, akiba, ukopaji wenye uwajibikaji, na upatikanaji wa suluhisho husika za kifedha kutoka Benki ya Equity.

Benki ya Equity inaendelea kuwawezesha wanawake na wajasiriamali kwa elimu na suluhisho za kifedha wanazohitaji kukuza biashara endelevu.




Kilele cha siku kilikuwa ni kukabidhiwa kwa vikombe kwa washindi wa Equity Waitara Trophy 2026! 🏆Hongera kwa wachezaji w...
22/09/2026

Kilele cha siku kilikuwa ni kukabidhiwa kwa vikombe kwa washindi wa Equity Waitara Trophy 2026! 🏆

Hongera kwa wachezaji wote walioshiriki kwa ushindani mkubwa na uzalendo wa mchezo wa gofu. Ushindi wenu ni matunda ya juhudi, umahiri na moyo wa kupambana uwanjani.

Equity Bank Tanzania na Lugalo Golf Club tunawapongeza washindi wote, na kuwashukuru washiriki wote kwa kufanya siku hii kuwa ya kukumbukwa.

Jioni ilipofika, hafla iliendelea kwa hotuba kutoka kwa viongozi wa Lugalo Golf Club na Equity Bank Tanzania, zikifuatiw...
22/09/2026

Jioni ilipofika, hafla iliendelea kwa hotuba kutoka kwa viongozi wa Lugalo Golf Club na Equity Bank Tanzania, zikifuatiwa na muda wa mahusiano, vyakula na vinywaji kwa wageni wote.

Ni siku iliyoonyesha jinsi gofu linavyounganisha watu kibiashara na kijamii.

Viongozi uwanjani!Tunamshukuru Mhe. Bakari Machumu, Mjumbe wa Bodi ya Equity Bank Tanzania, pamoja na Balozi Meja Jenera...
22/09/2026

Viongozi uwanjani!

Tunamshukuru Mhe. Bakari Machumu, Mjumbe wa Bodi ya Equity Bank Tanzania, pamoja na Balozi Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge, Mwenyekiti wa Lugalo Golf Club, kwa kushiriki katika shughuli za siku hii.

Ushiriki wenu unaleta heshima na hamasa kubwa.



Gofu ni zaidi ya mchezo. Equity Waitara Trophy 2026 imewakutanisha wachezaji, viongozi wa biashara, wajasiriamali na wat...
22/09/2026

Gofu ni zaidi ya mchezo.

Equity Waitara Trophy 2026 imewakutanisha wachezaji, viongozi wa biashara, wajasiriamali na wataalamu Lugalo, Dar es Salaam, kwa siku ya ushindani, mahusiano na fursa za kifedha.


Equity Bank Tanzania imefanikisha mashindano ya Equity Waitara Trophy 2026 katika Klabu ya Gofu TPDF Lugalo, Dar es Sala...
22/09/2026

Equity Bank Tanzania imefanikisha mashindano ya Equity Waitara Trophy 2026 katika Klabu ya Gofu TPDF Lugalo, Dar es Salaam, chini ya dhana ya "Elevate Your Game."

Tukio hilo liliunganisha wachezaji wa gofu, viongozi wa biashara na wajasiriamali huku likiangazia huduma za Benki za Hadhi ya Juu na Equity Mastercard Black.

Wakizungumza wakati wa tukio hilo ni Ms. Shumbana Walwa, Mkuu wa Kitengo cha Masoko Equity Bank Tanzania, na Mr. Samwel Mosha, Nahodha Msaidizi wa TPDF Lugalo Golf Club.


We’re Hiring!Equity Bank Tanzania is looking for talented and qualified professionals to join our growing team.We are cu...
22/09/2026

We’re Hiring!

Equity Bank Tanzania is looking for talented and qualified professionals to join our growing team.

We are currently recruiting for:
- Records Specialist
- Valuation Officer
- Credit Risk Officer

If you have the skills and experience to make an impact, we’d love to hear from you.

📅 Application Deadline: 3rd October 2026

📩 Apply via: [email protected]

🌐 Visit equitygroupholdings.com/tz/careers for more details.



Jikoni safi kwa shule zetu Equity Bank Tanzania kwa kushirikiana na Watu na Umeme Limited wamekutana na wamiliki wa shul...
21/09/2026

Jikoni safi kwa shule zetu

Equity Bank Tanzania kwa kushirikiana na Watu na Umeme Limited wamekutana na wamiliki wa shule zaidi ya 100 kutoka Arusha, Kilimanjaro na Manyara, jijini Arusha, kujadili suluhisho za nishati safi ya kupikia na namna ya kuzifadhili.

- Jiko safi la kupikia linalotumia nishati ya jua kwa shule
- Mikopo nafuu ya Equity Bank kwa shule zinazokidhi vigezo
- Shule Mkononi kwa usimamizi rahisi wa shughuli na utawala wa shule

Mgeni rasmi alikuwa Bw. Bayo, Mwenyekiti wa Taifa wa TAMONGSCO. Kikao kiliongozwa na Bi. Hellen Dalali, Mkuu wa kitengo cha Uendelevu Equity Bank Tanzania na Dkt. Prosper Magali Mkurugezi Mtendaji Watu na Umeme Limited.

Kupunguza hewa chafu, jiko moja la shule kwa wakati mmoja.





Address

Golden Jubilee Tower, 3rd Floor
Dar Es Salaam
P.OBOX110183

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255768985500

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Equity Bank Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Equity Bank Tanzania:

Share