Mwalimu Commercial Bank Plc.

Call Directions Website Contact the business

Mwalimu Commercial Bank Plc. Welcome to the ONLY official page for Mwalimu Commercial Bank Plc.

Una ndoto ya kumiliki bajaji? 🛺Njoo, tukamilishe ndoto yako kwa Mkopo wa Bajaji kwa gharama nafuu kabisa. Vigezo na mash...
30/09/2026

Una ndoto ya kumiliki bajaji? 🛺

Njoo, tukamilishe ndoto yako kwa Mkopo wa Bajaji kwa gharama nafuu kabisa.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


29/09/2026

Maisha ni rahisi na MwalimuCard Visa. 💳

Lipa subscription zako mtandaoni na enjoy movies zako bila vikwazo. 🎬

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Mwanachuo unaweza kutunza boom lako na kupanga matumizi yako kwa urahisi, bila makato ya mwezi.Fungua akaunti bure, anza...
28/09/2026

Mwanachuo unaweza kutunza boom lako na kupanga matumizi yako kwa urahisi, bila makato ya mwezi.

Fungua akaunti bure, anza kuweka mipango ya fedha zako mapema.

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Wakati ndio sasa, hakuna kusubiri tena! 🛺Miliki bajaji yako na ulipe kidogo kidogo kwa muda wa hadi miezi 24.Piga 080075...
27/09/2026

Wakati ndio sasa, hakuna kusubiri tena! 🛺
Miliki bajaji yako na ulipe kidogo kidogo kwa muda wa hadi miezi 24.

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Furahia vipindi, michezo na burudani unazopenda bila kupitwa.Lipa kisimbuzi chako sasa! piga *150*31 # au Pakua App Mamb...
26/09/2026

Furahia vipindi, michezo na burudani unazopenda bila kupitwa.

Lipa kisimbuzi chako sasa! piga *150*31 # au Pakua App

Mambo yote kidijitali

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Elimu ni kipaumbele chetu, Njoo tukusoti na mkopo wa Ada mtoto asipitwe na masomo Vigezo na masharti kuzingatiwaPiga 080...
25/09/2026

Elimu ni kipaumbele chetu, Njoo tukusoti na mkopo wa Ada mtoto asipitwe na masomo

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Usijisumbue kubeba cash kila unapokwenda. Ukiwa na MwalimuCard Visa, fanya malipo yako popote uendako kwa urahisi na bil...
24/09/2026

Usijisumbue kubeba cash kila unapokwenda. Ukiwa na MwalimuCard Visa, fanya malipo yako popote uendako kwa urahisi na bila wasiwasi.

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Mambo yamebana kabla ya mshahara? Usijali! Vuta mkwanja kiganjani hadi nusu ya mshahara wako.Piga *150*31 # au pakua App...
23/09/2026

Mambo yamebana kabla ya mshahara? Usijali! Vuta mkwanja kiganjani hadi nusu ya mshahara wako.

Piga *150*31 # au pakua App

Mambo yote kidijitali.

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


23/09/2026

🏃🏃‍♀️How can you cone here if you can’t run🤣🤭

Kila hatua ni uwekezaji katika afya, ustawi na maisha bora💪

Mwalimu Bank k**a mmoja wa wadhamini wa marathon iliyoandaliwa na Home Gym, tukishirikiana kuhamasisha jamii kuzingatia mazoezi,afya kuwa sehemu ya maisha yetu kila siku.

Kwanini uteseke kwenda mbali? Huduma zote sasa karibu yako.Wakala wetu hana mbambamba sogea uhudumiwe.Swipe kuona mawaka...
22/09/2026

Kwanini uteseke kwenda mbali? Huduma zote sasa karibu yako.

Wakala wetu hana mbambamba sogea uhudumiwe.

Swipe kuona mawakala wetu wilaya ya ubungo

Piga 0800750033 kwa msaada zaidi.


Address

Mlimani Tower, Mezanine Floor, Sam Nujoma Road
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255222772954

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Commercial Bank Plc. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwalimu Commercial Bank Plc.:

Shortcuts

Share