Exim Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania The most Innovative and fastest growing bank in Tanzania and is reckoned for its professionalism an

Exim Bank (Tanzania) Ltd, one of the locally established Banks in Tanzania in Aug' 97, continues to remain in the forefront of providing quality banking services in the Country. Within a span of 23 years of its existence, the bank has built strong brand equity through its relationship management and its ability to provide a faster turnaround in services; in the process building a robust loyal customer base.

Kila hatua kubwa huanza na msingi imara.Mjengee mwanao msingi bora wa kifedha mapema kupitia Nyota Junior Account. Kwa m...
27/08/2026

Kila hatua kubwa huanza na msingi imara.

Mjengee mwanao msingi bora wa kifedha mapema kupitia Nyota Junior Account.

Kwa maelezo na msaada zaidi wasiliana nasi BURE kupitia 0800 780 111.


Elevate your everyday style with effortless elegance. Pay with your Exim Mastercard at  or  to unlock premium rewards on...
26/08/2026

Elevate your everyday style with effortless elegance.

Pay with your Exim Mastercard at or to unlock premium rewards on every purchase. Premium jewelry should be enjoyed every day.

For more information and further assistance call us for FREE at 0800 780 111



Heri ya Maulid Al-Nabi! Tunawatakia maadhimisho mema yenye amani, furaha na baraka tele.
25/08/2026

Heri ya Maulid Al-Nabi!

Tunawatakia maadhimisho mema yenye amani, furaha na baraka tele.



Mahitaji yako yasisubiri! Ukiwa mfanyakazi wa serikali au mtumishi wa uma, pata mkopo unaoendana na malengo yako kwa ura...
24/08/2026

Mahitaji yako yasisubiri!

Ukiwa mfanyakazi wa serikali au mtumishi wa uma, pata mkopo unaoendana na malengo yako kwa urahisi na haraka kupitia Wafanyakazi Loan.

Tembelea portal ya ESS kupitia ess.utumishi.go.tz kisha chagua Exim Bank kuanza maombi yako leo!

Kwa maelezo na msaada zaidi, wasiliana nasi BURE kupitia 0800 780 111.


Mchongo wa kufanya miamala upo karibu zaidi kupitia WhatsApp! Unaweza kutuma pesa, kulipia bili, kufanya malipo ya bidha...
22/08/2026

Mchongo wa kufanya miamala upo karibu zaidi kupitia WhatsApp!

Unaweza kutuma pesa, kulipia bili, kufanya malipo ya bidhaa au huduma na mengine mengi ukiwa katikati ya mazungumzo yako bila kuhama chat.

Sevu namba 0675 800 100, kisha tuma “Hi” au Bonyeza link hii: https://go.eximbank.co.tz/WAB
kuanza kufanya miamala yako.



Make your next getaway even more rewarding with up to USD 200 off Emirates return flights when you pay with your Exim Ma...
21/08/2026

Make your next getaway even more rewarding with up to USD 200 off Emirates return flights when you pay with your Exim Mastercard.

Visit emirates.com/tz and use promo code TZMSC26.

For more information and further assistance call us for FREE through 0800 780 111

T&Cs apply.

Whether you're shopping for a special occasion or refreshing your everyday wardrobe, your Exim Mastercard got you covere...
20/08/2026

Whether you're shopping for a special occasion or refreshing your everyday wardrobe, your Exim Mastercard got you covered.

Get exclusive discounts at when you pay with your Exim Mastercard.

For more information and further assistance call us for FREE through 0800 780 111


Mafanikio yako ndiyo fahari yetu. Kwa miaka 29, tumekuwa washirika wa maendeleo kwa wafanyabiashara, wakulima na jamii n...
19/08/2026

Mafanikio yako ndiyo fahari yetu.

Kwa miaka 29, tumekuwa washirika wa maendeleo kwa wafanyabiashara, wakulima na jamii na taifa kwa ujumla .

Asante kwa kutuamini kuambatana nawe katika kila hatua ya ukuaji na mafanikio yako.

Asante kwa kuendelea kutuamini. Safari inaendelea!


Iwe ni kuanza ujenzi, kujiendeleza kimasomo au kununua kiwanja Wafanyakazi loan ipo kukamilisha ndoto yako.Timiza maleng...
18/08/2026

Iwe ni kuanza ujenzi, kujiendeleza kimasomo au kununua kiwanja Wafanyakazi loan ipo kukamilisha ndoto yako.

Timiza malengo au ndoto yako na Wafanyakazi loan na ufurahie marejesho ya hadi miezi 144.

Tembelea https://ess.utumishi.go.tz kisha chagua Exim Bank.

Kwa maelezo na msaada zaidi, wasiliana nasi bure kupitia 0800 780 111.

Dira 2050: Fursa na Wajibu wa Makandarasi katika Ujenzi wa Miundombinu Endelevu.Tunajivunia kushiriki katika Mkutano wa ...
17/08/2026

Dira 2050: Fursa na Wajibu wa Makandarasi katika Ujenzi wa Miundombinu Endelevu.

Tunajivunia kushiriki katika Mkutano wa Mashauriano na Wadau wa Sekta ya Ujenzi 2026, uliohudhuriwa na Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, mwishoni mwa wiki iliyopita.

K**a mshirika wa maendeleo, tunaendelea kuunga mkono ukuaji wa sekta ya ujenzi kwa kutoa suluhisho za kifedha zinazowawezesha wakandarasi kutekeleza miradi kwa ufanisi, kuimarisha mtiririko wa fedha na kukuza biashara zao.

Kupitia huduma zetu k**a Trade Finance na Unsecured Bid Bond, tunawasaidia wakandarasi na wadau wa sekta hii kupata urahisi na uwezo wa kifedha wanaohitaji ili kuchangamkia fursa na kutekeleza miradi yao kwa kujiamini.

Tunaamini kuwa sekta imara ya ujenzi ni msingi wa miundombinu endelevu, ukuaji wa uchumi na ustawi wa taifa. Tunaendelea kuwa bega kwa bega na wadau wa sekta hii katika kujenga Tanzania yenye fursa zaidi kwa wote.







Address

Ghana Avenue
Dar Es Salaam
P.OBOX1431

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255800780111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Exim Bank Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Exim Bank Tanzania:

Shortcuts

Share

Category