CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc The Bank has a robust IT platform and maintains a leading edge in the sphere of technology and innovations (extensive delivery channels).

CRDB Bank is the leading financial institution in Tanzania with strong presence in Corporate banking, Small and Medium Enterprises Banking, Individual Banking and Microfinance Banking. CRDB Bank PLC is the leading banking institution in Tanzania in terms of assets, loans & advances and customer deposits, with an ambition to expand its footprint in the wider East Africa region. Besides playing an

influential role in the socio-economic development of the country, CRDB Bank consistently relies on its sound business model to pursue a sensible diversification strategy, alongside consolidating and improving its banking operations. Reflective of its corporate philosophy, CRDB Bank remains intent on providing ever-improving levels of customer experience as well as state-of-the-art financial solutions to individual and corporate clients. Epitomising its outstanding brand, CRDB Bank keeps on building lasting relationships with all its stakeholders. The Group offers a comprehensive range of corporate, retail, business, treasury, premier, wholesale banking and microfinance services through a network of 199 static and mobile branches, 432 ATMs including 18 Depository ATMs, 778 Point of Sale (POS) terminals, 1,746 Agents (FahariHuduma) and 441partner Microfinance institutions. The innovative network plan enhances Group’s ability to provide cost effective service delivery across Tanzania. CRDB Bank Plc (The Bank) is a Public Company limited by shares which was incorporated in the United Republic of Tanzania in 1996 under the Companies Act, CAP 212 Act No.12 and was listed on the Dar Es Salaam Stock exchange (DSE) on 17th June 2009. It has established two wholly owned subsidiaries namely CRDB Microfinance Services Company Limited incorporated in the United Republic of Tanzania in 2007 and CRDB Bank Burundi S.A. incorporated in the Republic of Burundi in 2012

27/08/2026

Hongera mshindi wetu IRENE MHELELA wa Zogo la wiki iliyopita aliyejibu swali kuwa ukifungua SimBanking App 📲 unatakiwa kubofya wapi ili uweze kufungua account ya CDS?



27/08/2026

Upo tayari kwa somo la bajeti leo?

Ni Zogo la leo usiku. Tutakuwa na Zaiko Kanjobe , Meneja wa tawi la CRDB - Lindi na Bi Anisa Kitenge, Mtengeneza maudhui ya kifedha.

Usikose leo hii kuanzia saa 3 Usiku ndani ya Clouds TV.



Piga kazi popote, CRDB inakupa Mkopo wa Ughaibuni Mhe, Dr Evaline Wilbard Munisi ( Mb) ,  Naibu Waziri - Ofisi ya Waziri...
27/08/2026

Piga kazi popote, CRDB inakupa Mkopo wa Ughaibuni

Mhe, Dr Evaline Wilbard Munisi ( Mb) , Naibu Waziri - Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi , Ajira na Mahusiano) ambaye ni Mgeni rasmi ameipongeza benki yetu kwa kuleta Mkopo wa Ughaibuni, unaolenga kuwawezesha Watanzania ambao tayari wamepata ajira nje ya nchi kukamilisha maandalizi muhimu na kufika kwenye vituo vyao vya kazi bila kukwama kutokana na changamoto za kifedha.

Kupitia mkopo huu, wanufaika wataweza kugharamia mahitaji mbalimbali ikiwemo maombi ya visa, pasi za kusafiria, vipimo vya afya, tiketi za ndege na gharama nyingine muhimu zinazohitajika kabla ya kuanza safari ya ajira ughaibuni.

Mkopo huu umeanzishwa kwa ushirikiano mkubwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, kwa lengo la kutoa fursa zaidi kwa vijana Watanzania kutumia ajira za kimataifa k**a njia ya kujenga maisha yao na kuchangia maendeleo ya Taifa.



“Benki ya CRDB imetenga kiasi cha shilingi bilioni 250 kwa muda wa miaka mitano ili kufanikisha watanzania wengi zaidi w...
27/08/2026

“Benki ya CRDB imetenga kiasi cha shilingi bilioni 250 kwa muda wa miaka mitano ili kufanikisha watanzania wengi zaidi waliokidhi vigezo kwenda kufanya kazi nje ya nchi na kurudisha fedha nyumbani” Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya CRDB, Pendason Philemon



27/08/2026

Wewe unavaa sh ngapi juu hadi chini?😂

Dompinyo atakuwepo kwenye zogo la wiki hii akitamba kuwa anavaa pamba za hela nyingi sana 😄

Usikose Alhamisi hii kuanzia saa 3 Usiku ndani ya Clouds TV.



Usiwe na stress za gharama za maandalizi.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji , Benki ya CRDB , Ndugu Pendason Philemon amewahakiki...
27/08/2026

Usiwe na stress za gharama za maandalizi.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji , Benki ya CRDB , Ndugu Pendason Philemon amewahakikishia wafanyakazi wanaopata changamoto ya gharama za maandalizi wasiwe na stress tena sababu Ughaibuni loan ipo kwa ajili yao.Mkopo hu unalenga kuwawezesha Watanzania wanaopata ajira nje ya nchi kulipia gharama za maandalizi ya safari kabla ya kwenda kuungana na waajiri wao ambazo zinajumuisha:

👉🏽 Upatikanaji wa pasi ya kusafiria,
👉🏽Viza na vibali vya kazi,
👉🏽Vipimo vya afya,
👉🏽Mafunzo ya lugha na utamaduni,
👉🏽Tiketi za ndege, pamoja na
👉🏽Mahitaji ya msingi pindi wanapowasili katika nchi husika kabla hawajaanza kulipwa ujira wao.



Serikali na CRDB Bank kushirikiani kuwawezesha vijana katika sekta ya ajira.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Wa...
27/08/2026

Serikali na CRDB Bank kushirikiani kuwawezesha vijana katika sekta ya ajira.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi , Ajira na wenye Ulemevu ) Bi Zuhura Yunus amehakikisha kuendeleza ushirikiano baina ya Serikali na CRDB Bank katika kuendeleza sekta ya Ajira . Na pia kaipongeza Benki yetu kwa kuzindua mkopo wa ughaibuni unaowawezesha watanzania wenye ajira nje ya nchi kukamilisha maandalizi muhimu kabla ya kuanza kazi.



Burudani za ki Ughaibuni 💃🕺🏾 🪘 Yaaan uwe na uhakika wa mkopo kutoka CRDB huku Visa na Passport zipo tayari kwa ajili ya ...
27/08/2026

Burudani za ki Ughaibuni 💃🕺🏾 🪘

Yaaan uwe na uhakika wa mkopo kutoka CRDB huku Visa na Passport zipo tayari kwa ajili ya safari na usicheze na kuienjoy, haiwezekani 😌



Karibu Mgeni Rasmi 🤝Mhe, Dr Evaline Wilbard Munisi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi , Ajira na Mahusiano) ambay...
27/08/2026

Karibu Mgeni Rasmi 🤝

Mhe, Dr Evaline Wilbard Munisi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi , Ajira na Mahusiano) ambaye ni Mgeni rasmi amewasili makao makuu ya Benki yetu katika uzinduzi wa mkopo wa ughaibuni unaowawezesha watanzania wenye ajira nje ya nchi kukamilisha maandalizi muhimu kabla ya kuanza kazi.



Mkopo unaenda na Elimu ya fedha Waajiriwa waliopata fursa kwenda kufanya kazi nje ya nchi leo wamepatiwa elimu kuhusu mi...
27/08/2026

Mkopo unaenda na Elimu ya fedha

Waajiriwa waliopata fursa kwenda kufanya kazi nje ya nchi leo wamepatiwa elimu kuhusu mikopo, mafao na namna sahihi ya matumizi ya fedha wanapokuwa kazini. Benki ya CRDB imefanya hayo leo kwenye uzinduzi wa mkopo wa ughaibuni unaowawezesha watanzania wenye ajira nje ya nchi kukamilisha maandalizi muhimu kabla ya kuanza kazi.

Benki ya CRDB inashirikiana kwa ukaribu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi ajira na mahusiano pamoja na NSSF.

Huu ni mwendelezo wa kuhakikisha mipango ya kila mtanzania inarahisishwa.



Address

Azikiwe Street, P. O Box 268
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CRDB Bank Plc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CRDB Bank Plc:

Shortcuts

Share