M Plus Insurance

M Plus Insurance Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from M Plus Insurance, P. O. Box 80674, Dar es Salaam.

21/03/2026
Ni kweli hawapo wale jamaa zetu barabarani lakiniiiii !! Kwani tunachukua bima kwaajiki Yao au kwaajili yetu sisi wenyew...
27/08/2025

Ni kweli hawapo wale jamaa zetu barabarani lakiniiiii !! Kwani tunachukua bima kwaajiki Yao au kwaajili yetu sisi wenyewe?

Tushtuke kidogo hapa alafu tubadili upepo, tuseme hata k**a hawapo sisi tuna BIMA, mshtue na mwenzako hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣



22/08/2025




22/08/2025

Fire Insurance → Hulinda biashara na makazi.Eg. Ghala,Masoko,Maduka, nyumba na mali.  bima hii ya moto ni muhimu kwani h...
09/08/2025

Fire Insurance → Hulinda biashara na makazi.Eg. Ghala,Masoko,Maduka, nyumba na mali.

bima hii ya moto ni muhimu kwani huipa thamani mali zako na vyote utakavyovilinda mbali zaidi ya moto wenyewe. Itakulinda na mafuriko, kutembea kwa ardhi, tetemeko la ardhi, vurugu za kijamii ambapo vyote hivi huweza kupelekea hasara katika mali zako n.k . (landslide, Riot and Civil commotion,Floods,
Earthquake etc)


Unatambua faida za bima uliyokua nayo sasa? K**a hutambui usijali fanya mambo 3 tu.1. Chukua/Nakili namba hii 0684 962 6...
08/07/2025

Unatambua faida za bima uliyokua nayo sasa? K**a hutambui usijali fanya mambo 3 tu.

1. Chukua/Nakili namba hii 0684 962 601

2. Tuma Ujumbe WhatsApp/kawaida wenye namba ya chombo chako cha moto au aina ya bima uliyokua nayo tu.

3. Subiria simu yetu ndani ya dk 1 kupata elimu na muongozo juu ya faida ya bima uliyokua nayo.

Usikae mbali na ndio jicho lako la tatu katika ulinzi wa Mali zako.

"Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Kwa kila jasho linalomwagika, kuna thamani kubwa inayostahili kulindwa. Tunawashukuru kwa ...
01/05/2025

"Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Kwa kila jasho linalomwagika, kuna thamani kubwa inayostahili kulindwa. Tunawashukuru kwa kazi yenu ngumu na kuendelea kutuamini kulinda ndoto, mali na mafanikio yenu dhidi ya hatari. Tupo nanyi bega kwa bega—sio kwa bima tu, bali kwa kila hatua ya ujasiri."

Be wise, Be Safe, Be Insured
#0684962601

Fire and Allied Perils Insurance- Product of The Week.Majanga hutokea katika wakati usiotarajiwa, Linda mali zako na uwe...
28/04/2025

Fire and Allied Perils Insurance- Product of The Week.
Majanga hutokea katika wakati usiotarajiwa, Linda mali zako na uwekezaji wako kupitia bima ya Moto.

Zile sijutii ndio mahaka pake hapa.

Be safe, Be wise, Be Insured

#0684962601

Pata Bima yako ya ajali sasa iwe kwa vikundi au mtu mmoja mmoja. Linda maisha yako kwa ajali zisizotarajiwa.PERSONAL ACC...
22/04/2025

Pata Bima yako ya ajali sasa iwe kwa vikundi au mtu mmoja mmoja. Linda maisha yako kwa ajali zisizotarajiwa.
PERSONAL ACCIDENT POLICY inajukumu hilo.

Tuone tukushauri

#2025

Address

P. O. Box 80674
Dar Es Salaam
MPLUSINSURANCE,WAZOHILLRD-TEGETA

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255684962601

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when M Plus Insurance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to M Plus Insurance:

Share