Salt Media.online

Salt Media.online Salt Media is a Multi media Content production

08/05/2026

Umeachana na mitumba, umerudi kwenye nini tena? πŸ˜… Mambo ya mtaani kwenye Episode 3 ya CHINGA yanaendelea!

Jamaa anasema maisha kuwa magumu ni "mabadiliko ya tabia nchi." Wewe unakubaliana na hili au ni vyuma tu vimekaza? Dondosha comment yako hapa chini tuone hali za mitaa mbalimbali!

04/05/2026

Ukiwa huna hela mjini, hata salamu inaweza kuwa kosa! πŸ”₯πŸ˜‚ Chinga amekutana na kisanga cha mwakaβ€”kushoto anadaiwa, kulia anazinguliwa. Kwenye hii mikasa ya uswahilini, mapenzi, na harakati za kuuza viatu, atatoboa kweli? Hebu jionee mwenyewe jinsi mambo yalivyopamba moto! πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸ’¨

Usisahau ku-tag mshikaji wako ambaye mishe zake zinakumbana na vikwazo k**a hivi! πŸ˜‚

01/05/2026

The streets are definitely not safe for the weak! πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸŽ¬ Kutoka kwenye kuvunja milango hadi kukabana mashati, CHINGA Episode 2 is serving nothing but pure chaos and comedy!

25/04/2026
21/04/2026

Lights, camera, laughter! πŸ˜‚πŸŽ₯ A little sneak peek behind the scenes of β€œKuharibu Ukweni.” Work hard, laugh harder.

17/04/2026

Kuharibu ukweni si mchezo! 😭😭🀣 Hivi wewe ukijikuta kwenye hali k**a hii utafanyaje?

Hebu tuambie kwenye comments! πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚

17/04/2026

Njaa ya Carpoza inageuka kuwa janga kubwa ukweni. Kosa moja la aibu gizani linatosha kuvunja heshima yote. Je, atawezaje kuwatazama usoni ?

Usisahau ku-SUBSCRIBE, Ku-LIKE, na kuacha COMMENT yako hapo chini! πŸ‘‡

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa video zaidi za kijanja na za kuchekesha:
πŸ‘‰ Instagram: .online
πŸ‘‰ Facebook: Salt Media.online
πŸ‘‰ TikTok: .online
πŸ“² WhatsApp / Piga Simu: +255 761 788 224

14/04/2026

Kuna muda ni vizuri kumshukuru mpishi na kula kimya kimya... Ukianza kuuliza "Hii nyama ya nini?" yatakukuta ya huyu mwamba! πŸ˜‚Mwangalie mwamba sura ilivyomshuka baada ya kusikia kilichopo kwenye sahani yake.
Usisahau ku-SUBSCRIBE, Ku-LIKE, na kuacha COMMENT yako hapo chini! πŸ‘‡

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa video zaidi za kijanja na za kuchekesha:
πŸ‘‰ Instagram: .online
πŸ‘‰ Facebook: Salt Media.online
πŸ‘‰ TikTok: .online
πŸ“² WhatsApp / Piga Simu: +255 761 788 224

14/04/2026

Nusu kazi nusu vituko. Hii ndo behind the scenes halisi🀣

12/04/2026

PhD ya Uchumi vs. Diploma! πŸŽ“πŸ“¦πŸ˜‚Nani bosi wa ukweli hapa?

Tuambie chini! πŸ‘‡

09/04/2026

Mzuka wote unakata ukishtukia kilichopo kwenye sahani. Kumbe sio kila nyama ni nyama!

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa video zaidi za kijanja na za kuchekesha:
Instagram: .online
Facebook: Salt Media.online
TikTok: .online
WhatsApp / Piga Simu: +255 761 788 224

Address

12 Mashori Street Sinza
Dar Es Salaam
72742

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

0713838553

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salt Media.online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Salt Media.online:

Share