Zan Securities Limited

Zan Securities Limited Investment Advisor | Fund Manager |
Licensed Dealing Member of Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)

28/08/2026

WEKEZA LEO, FURSA NI SASA! πŸ“ˆ

Chagua ZanTimiza ETF au Timiza Plus Fund na anza kujenga kesho yako leo.

πŸ—“οΈ 17 Agosti – 17 Septemba 2026

Wekeza. Kua. TIMIZA.

25/08/2026

HAPPY MAULID DAY! β˜ͺοΈπŸ•‹

πŸ“Š FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI: TIMIZA FUND PLUS & ZAN TIMIZA ETFUsikose webinar hii kujifunza zaidi kuhusu Timiza Fund Plus ...
21/08/2026

πŸ“Š FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI: TIMIZA FUND PLUS & ZAN TIMIZA ETF

Usikose webinar hii kujifunza zaidi kuhusu Timiza Fund Plus & Zan Timiza ETF na jinsi zinavyokupa fursa mpya za kuwekeza katika masoko ya mitaji.

πŸ—“οΈ Tarehe: Jumamosi, 22 Agosti 2026
πŸ•™ Muda: 10:00 AM
πŸ’» Mahali: Microsoft Teams

πŸ”Ή Meeting ID: 355 831 127 472 959
πŸ”Ή Passcode: EZ22Zu7h

Jiunge moja kwa moja hapa: πŸ‘‡
https://teams.microsoft.com/meet/355831127472959?p=cqICf92kNXId9p17Vd

Mawasiliano:
☎️ +255 750 011 250
πŸ“² +255 756 111 888
πŸ“§ [email protected]
πŸ“§ [email protected]
🌐 www.zansec.co.tz

The countdown is on! πŸš€We’re excited to announce the distinguished guests joining us for the official launch of the ZAN T...
14/08/2026

The countdown is on! πŸš€

We’re excited to announce the distinguished guests joining us for the official launch of the ZAN Timiza ETF & Timiza Plus Fund:

- CPA Nicodemus Mkama - CEO, Capital Market and Securities Authority (CMSA)
- Mr. Peter Nalitolela – CEO, Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)
- Hon. Cleyton Chipando (Baba Levo) – Member of Parliament, Kigoma Urban
- Hon. Haji Manara – Councillor, Kariakoo Ward
- Hon. Nurdin Bilal Ali – Mayor of Dar es Salaam
- Wanda Gordon - Certified Financial Educator (CFE)
- Leonard Butindi – Renowned Comedian

Whether you’re an investor, entrepreneur, or looking to begin your wealth creation journey, this is an event you don’t want to miss.

πŸ“ JNICC, Dar es Salaam
πŸ—“οΈ Monday, 17 August 2026
⏰ 8:00 AM – 2:00 PM

🎟️ FREE Entry! Scan the QR code on the flyer to reserve your seat.

Join us as we shape the future of investing in Tanzania.

Muda unazidi kukaribia! πŸš€Tunayo furaha kutangaza wageni wa heshima watakaohudhuria uzinduzi rasmi wa ZAN Timiza ETF na T...
14/08/2026

Muda unazidi kukaribia! πŸš€

Tunayo furaha kutangaza wageni wa heshima watakaohudhuria uzinduzi rasmi wa ZAN Timiza ETF na Timiza Plus Fund:

- CPA Nicodemus Mkama - Mtendaji Mkuu, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)
- Bw. Peter Nalitolela – Mtendaji Mkuu, DSE
- Mh. Cleyton Chipando (Baba Levo) – Mbunge wa Kigoma Mjini
- Mh. Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa DSM
- Mh. Haji Manara – Diwani wa Kata ya Kariakoo
- Mh. Nurdin Bilal Ali – Meya wa Jiji la Dar es Salaam
- Wanda Gordon - Mhamasishaji wa Elimu ya Fedha
- Leonard Butindi – Mchekeshaji Maarufu

Iwe wewe ni mwekezaji, mfanyabiashara, au unataka kuanza safari ya kujenga utajiri wako, usikose tukio hili.

πŸ“ JNICC, Dar es Salaam
πŸ—“οΈ Jumatatu, 17 Agosti 2026
⏰ Saa 2:00 Asubuhi – Saa 8:00 Mchana

🎟️ Kiingilio ni BURE! Changanua QR Code kwenye tangazo ili kuhifadhi nafasi yako.

Karibu tushuhudie mwanzo wa enzi mpya ya uwekezaji nchini Tanzania!

Address

1st Floor VIVA Towers Building
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 12:00

Telephone

+255222103433

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zan Securities Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zan Securities Limited:

Share