Watu Simu Tanzania

Watu Simu Tanzania Mkopo wa simu chap chap Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ’³ Kianzio kidogo
πŸ‘ Malipo rafiki
πŸ”Ž Vigezo rahisi

27/08/2026

Kwa mahitaji ya mikopo ya simu janja sisi ndio namba moja!

Mawakala wetu wanapatikana nchi nzima tayari kukupatia huduma ya hali ya juu. Fika kwa wakala yoyote aliye karibu yako na upate mkopo wako wa simu leo leo.

Tunawatakia wateja wetu wote, wadau wetu mbali mbali, na wafanyakazi wetu heri na baraka za Maulid
25/08/2026

Tunawatakia wateja wetu wote, wadau wetu mbali mbali, na wafanyakazi wetu heri na baraka za Maulid

24/08/2026

Fursa zetu zinaendelea kubadilisha maisha ya Watanzania wengi. Bwana Mohammed ni mmoja ya wengi ambao alidaka furza zetu na kunufaika.

Usikubali kupishana na fursa zetu. Tembelea tawi lolote la Watu, vituo vya mauzo au mawakala wetu walio karibu na wewe na uweze kupata mkopo wako wa simu janja, pikipiki au tuktuk kwa bei nafuu na urahisi wa hali ya juu.

Chaguo ni lako. Angalia orodha za simu za Samsung za mwezi huu zinazopatikana kupitia mikopo ya Watu.
21/08/2026

Chaguo ni lako. Angalia orodha za simu za Samsung za mwezi huu zinazopatikana kupitia mikopo ya Watu.

14/08/2026

Epuka kukaa kwenye mafoleni wakati njia za kujihudumia mwenyewe zipo!

Kupitia Watu App unaweza kulipia rejesho lako, kuangalia salio, na kufuatilia miamala yako yote katika sehemu moja.

Pakua sasa, na ujihudumie!

Namba yetu ya huduma kwa wateja ina hitilafu ya muda kwa sasa. Kwa msaada, tafadhali wasiliana nasi kupitia:β€’ WhatsApp y...
28/07/2026

Namba yetu ya huduma kwa wateja ina hitilafu ya muda kwa sasa. Kwa msaada, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

β€’ WhatsApp ya Huduma kwa Wateja: 0777 716 615
β€’ Kurasa za Mitandao ya Kijamii: Watu Tanzania
β€’ Watu App: Live Chat
β€’ Barua Pepe: [email protected]

Asante kwa uvumilivu na ushirikiano wako.

28/07/2026

Kwa miaka mingi, ninyi wateja wetu mmekuwa sababu kuu ya safari yetu.

Asanteni kwa imani na uaminifu wenu kwa Watu!

Iwe unahitaji pikipiki, tuktuk au simu ili kuanza au kukuza biashara yako, tupo tayari kuwa nawe katika kila hatua.

Tembelea tawi lolote la Watu au mawakala wetu walio karibu nawe, au wasiliana nasi kupitia namba yetu ya WhatsApp (+255 777 716 615) kupata mkopo wako leo leo.

Kila Mtu Ni Watu

22/07/2026

Miaka 5 ya kuwawezesha Watanzania kutoka nyanja mbali mbali za maisha.

Siku zote, kipaumbele chetu kimekuwa ni wewe. Wewe ambae upo tayari kunyakua fursa za kujenga maisha bora.

Safari hii ya maendeleo ni ya wote, na tupo tayari kukuunga mkono katika kutimiza malengo na ndoto zako.

Milango yetu ipo wazi, karibuni tuendelee kukua pamoja.

Wewe mjasiriamali mdogo, mtu binafsi au mtu yeyote mwenye malengo ya kujinua kimaisha, kumbukuka kwetu sisi - Kila Mtu ni Watu.

Tunawashukuru sana Watanzania wote walioweza kufika na kuitembelea Watu katika Jumba la Fursa kipindi cha Maonyesho ya S...
20/07/2026

Tunawashukuru sana Watanzania wote walioweza kufika na kuitembelea Watu katika Jumba la Fursa kipindi cha Maonyesho ya Sabasaba.

Familia ya Watu itaendelea kuwa Pamoja nanyi na kuwasindikiza hatua kwa hatua katika kufikia malengo na mafanikio yenu.

Kwetu sisi - Kila Mtu ni Watu!

Asanteni!

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255800750228

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watu Simu Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share