20/05/2026
📍 MADALE MIVUMONI PRIME PLOT FOR SALE 🔥
Unatafuta eneo zuri kwa makazi au investment?
Hili hapa eneo la kipekee Madale Mivumoni, limegusa lami ya Mivumoni na lipo takribani mita 100 tu kutoka barabara kuu ya Goba. Location nzuri sana yenye maendeleo ya kasi.
✅ SQM 1,098
✅ Lina Hati
✅ Limegusa lami
✅ Mita 100 kutoka barabara ya Goba
✅ Inafaa kwa nyumba, apartments, biashara au investment
Eneo lina accessibility nzuri na mazingira mazuri ya kuishi au kuendeleza mradi wowote wa biashara. 🔑
Kwa maelezo zaidi na site visit:
📞 +255 762 707 326
Instagram: Genesis Realty Services Limited