Inuka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Inuka, Loan service, DA ES SALAAM, Dar es Salaam.

INUKA sasa na uanze biashara yenye faida nzuri maeneo mbalimbali ya nchi.unaweza kutengeneza faida kati ya 15,000 hadi 5...
05/05/2023

INUKA sasa na uanze biashara yenye faida nzuri maeneo mbalimbali ya nchi.
unaweza kutengeneza faida kati ya 15,000 hadi 50,000 kwa siku kwa kusafrisha watu kwa pikipiki au bajaji maeneo mbali mbali ya miji.
Karibu sasa INUKA finance tukukopeshe Pikipiki au Bajaji uanze Biashara.
wasiliana nasi 0654372311 whatsapp.

MKOPO WA PIKIPIKI/BAJAJI kwa HARAKAJipatie Mkopo wa Haraka wa Pikipiki ama Bajaji ndani ya muda mfupi wenye masharti Rah...
04/05/2023

MKOPO WA PIKIPIKI/BAJAJI kwa HARAKA
Jipatie Mkopo wa Haraka wa Pikipiki ama Bajaji ndani ya muda mfupi wenye masharti Rahisi
Vigezo ni
*Uwe ni Raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 18-hadi 55
*Uwe na kati ya Vitambulisho vifuatavyo NIDA/Leseni ya Udereva ama kadi ya mpiga kura
*Uwe na Mdhamini mmoja mwenye Vitambulisho tajwa pia awe ni kati ya miaka 20 na kuendelea.

Mkopo wetu ni nafuu sana na unapata ndani ya muda mfupi na utalipia kidogo kidogo ndani ya mwaka mzima huku ukiendelea kukitumia chombo.
wasiliana nasi kupitia
[email protected] au
0654372311
*vigezo na masharti kuzingatiwa**

Mahitaji ya usafiri ni makubwa sana hasa maeneo ya mijininchi ya Tanzania ina wakazi wapatao milioni 60.Bodaboda na Baja...
04/05/2023

Mahitaji ya usafiri ni makubwa sana hasa maeneo ya mijini
nchi ya Tanzania ina wakazi wapatao milioni 60.
Bodaboda na Bajaji ni moja kati ya vyombo muhimu sana kwenye seka hii
Ndio maana Inuka Finance tumedhamiria kuwasaidia Vijana,akina mama na watanzania kwa Ujumla kujikita kwanya Biashara hii ili kujipatia kipato na Kuboresha Familia zao.
Jipatie Mkopo wa Bajaji au Pikipiki kutoka UNUKA leo
wasiliana nasi 0654372311

Mradi wetu wa Inuka tumeweza kumkabidhi Pikipiki aina ya TVS Bi Sarah Kivuyo mkazi wa Arusha.Hata wewe unayo  nafasi ya ...
04/05/2023

Mradi wetu wa Inuka tumeweza kumkabidhi Pikipiki aina ya TVS Bi Sarah Kivuyo mkazi wa Arusha.
Hata wewe unayo nafasi ya kuinuka
jipatie mkopo wa Bajaji au Pikipiki kutoka Inuka Finance.
Vigezo
1.Kitambulisho cha Nida/leseni ya udereva
2.mkopaji awe ni kati ya miaka 18-45
3.Uwe na Mdhamini mmoja mwenye umri kati ya Miaka 20+
4.Rai na mkazi wa Tanzania Bara/visiwani

wasiliana nasi kupitia whatsapp number
0654372311
email [email protected]
mashatri na vigezo kuzingatiwa

02/05/2023
MUDA WA KU-Inuka ni sasatwenzetu
30/04/2023

MUDA WA KU-Inuka ni sasa
twenzetu

Pamoja tunaweza kukuza uchumi wa Nchi.Inuka tumedhamiria kuinuka na vijana wa kitanzania
27/04/2023

Pamoja tunaweza kukuza uchumi wa Nchi.
Inuka tumedhamiria kuinuka na vijana wa kitanzania

Address

DA ES SALAAM
Dar Es Salaam

Telephone

+255654372311

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category