tmrctanzania

tmrctanzania TMRC is a private sector financial institution with a sole purpose of supporting banks to do mortgage

Muda haumsubiri mtu! Changamkia fursa hii sasa na uwekeze kwa kesho yako.Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0742 956 ...
26/05/2026

Muda haumsubiri mtu!
Changamkia fursa hii sasa na uwekeze kwa kesho yako.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0742 956 992.

Pata uelewa wa kina juu ya uwekezaji huu mahususi ulioundwa kukuza uchumi wako bila wasiwasi. Ni njia nyepesi, salama, n...
25/05/2026

Pata uelewa wa kina juu ya uwekezaji huu mahususi ulioundwa kukuza uchumi wako bila wasiwasi. Ni njia nyepesi, salama, na isiyo na usumbufu wa aina yoyote.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0742 956 992.

Usikose! Kesho tutakuwa LIVE kupitia Clouds Media tukizungumzia kila kitu kuhusu Nyumba Bond. Ungana nasi kupata madini ...
24/05/2026

Usikose! Kesho tutakuwa LIVE kupitia Clouds Media tukizungumzia kila kitu kuhusu Nyumba Bond. Ungana nasi kupata madini yote yatakayokusaidia kuelekea kwenye umiliki wa nyumba yako ya ndoto.

⏰ Muda: 7:30 Asubuhi
📅 Tarehe: 25/05/2026
📌 Mada: Nyumba Bond

Usikubali pesa yako ikae bila kuzalisha vya kutosha. riba nono inakusubiri, fanya maamuzi ya kijanja leo na uone tofauti...
22/05/2026

Usikubali pesa yako ikae bila kuzalisha vya kutosha.
riba nono inakusubiri, fanya maamuzi ya kijanja leo na uone tofauti.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0742 956 992.

The TMRC Nyumba Bond is now officially available on the DSE Hisa Kiganjani App. Investing in the growth of Tanzania's ho...
19/05/2026

The TMRC Nyumba Bond is now officially available on the DSE Hisa Kiganjani App. Investing in the growth of Tanzania's housing sector and securing your financial future has never been easier.

Download the app today and start investing right from your smartphone. 📱✨

🌐 Visit www.tmrc.co.tz to learn more.

Tunajali usalama na ustawi wa uwekezaji wako. Wataalamu wetu wapo bega kwa bega na wewe kuhakikisha unapata huduma bora....
18/05/2026

Tunajali usalama na ustawi wa uwekezaji wako. Wataalamu wetu wapo bega kwa bega na wewe kuhakikisha unapata huduma bora.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0742 956 992.

Investing in the TMRC Nyumba Bond isn't just about the 11% annual interest—it’s about fueling the dream of home-ownershi...
12/05/2026

Investing in the TMRC Nyumba Bond isn't just about the 11% annual interest—it’s about fueling the dream of home-ownership for yourself and thousands of Tanzanians. Start your journey today with as little as 500,000/=.

TMRC Chief Executive Officer Mr. Elibariki Ndossi recently visited the Comprehensive Community Based Rehabilitation Tanz...
08/05/2026

TMRC Chief Executive Officer Mr. Elibariki Ndossi recently visited the Comprehensive Community Based Rehabilitation Tanzania (CCRBT), hosted by CEO Ms. Brenda Msangi.

The tour covered the full scope of CCRBT's work — from their orthotics and prosthetics workshop, where assistive devices and body parts are built from scratch by a team that proudly includes 6.1% staff living with disabilities, to the special needs children's clinic where young patients with clapfeet are treated using the Ponseti Method.
The visit wrapped up at the maternity ward, where Mr. Ndossi observed the standard of care extended to mothers in the facility.

Rehabilitation is dignity, independence, and a second chance. TMRC is proud to connect with institutions doing exactly that.

A landmark moment for Tanzania's housing sector. TMRC has officially launched its Medium Term Note Programme II — valued...
06/05/2026

A landmark moment for Tanzania's housing sector.

TMRC has officially launched its Medium Term Note Programme II — valued at up to TZS 100 Billion — opening a new chapter in long-term capital market financing for affordable housing.

The first issuance under this programme? The Nyumba Bond.
Because every Tanzanian deserves a place to call home.

he alignment between the World Bank, the Bank of Tanzania, and TMRC represents a powerful commitment to the growth of ou...
05/05/2026

he alignment between the World Bank, the Bank of Tanzania, and TMRC represents a powerful commitment to the growth of our nation's housing sector. By working in harmony, these institutions ensure that the financial infrastructure supporting home ownership in Tanzania is stable, sustainable, and built on global best practices.

This strategic collaboration is designed to increase liquidity in the mortgage market, making it possible for more Tanzanians to access long-term, affordable housing finance.

Address

Ohio Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tmrctanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share