Wicom Finance

Wicom Finance Wicom finance Limited ni taasisi inayotoa mikopo ya kifedha kwa wafanyabiashara na wafanyakazi.

Katika kufunga Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka mpya 2025,  Wicom Finance  imefanya Mkutano mkuu wa Kampuni uliokuwa na ...
28/12/2024

Katika kufunga Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka mpya 2025, Wicom Finance imefanya Mkutano mkuu wa Kampuni uliokuwa na mkakati wa kuboresha huduma zitolewazo na kampuni hii.

Mkutano huu uliofanyika katika Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kampuni na wafanyakazi wote wa WICOM FINANCE kutoka matawi mbalimbali kote Nchini.

Wicom Finance Together tunasonga mbele.

Heri ya Sikukuu ya Krismasi
25/12/2024

Heri ya Sikukuu ya Krismasi

24/12/2024

Furaha na iwe nanyi katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya

We wish you a wonderful holiday.
24/12/2024

We wish you a wonderful holiday.

K**a wewe ni mfanyabiashara na unahitaji kukuza mtaji wako, fika  upate mkopo wa uhakika na kwa haraka kuanzia Laki Moja...
15/12/2024

K**a wewe ni mfanyabiashara na unahitaji kukuza mtaji wako, fika upate mkopo wa uhakika na kwa haraka kuanzia Laki Moja Hadi Milioni 50.

Je, wewe ni mfanyakazi wa serikalini au umeajiriwa katika taasisi binafsi na unahitaji mkopo?WICOM FINANCE tunakupa mkop...
14/12/2024

Je, wewe ni mfanyakazi wa serikalini au umeajiriwa katika taasisi binafsi na unahitaji mkopo?

WICOM FINANCE tunakupa mkopo wa uhakika na kwa haraka kuanzia Laki Moja Hadi Milioni 50 kwa vigezo na masharti rahisi.

Wasiliana nasi 0677 222 460 au 0748 500 940 kwa maelezo na huduma zaidi.

Tunasherehekea Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania bara.Uongozi madhubuti na ushirikishwaji wa wananchi ni msingi wa maendeleo...
09/12/2024

Tunasherehekea Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania bara.
Uongozi madhubuti na ushirikishwaji wa wananchi ni msingi wa maendeleo yetu

Tunahakikisha biashara yako inakua kubwa zaidi.
08/12/2024

Tunahakikisha biashara yako inakua kubwa zaidi.

Katika msimu huu wa sikukuu usikae bila Pesa.Tembelea ofisi zetu upate Mkopo kuanzia Laki Moja Hadi Milioni 50.Huu ni ms...
06/12/2024

Katika msimu huu wa sikukuu usikae bila Pesa.
Tembelea ofisi zetu upate Mkopo kuanzia Laki Moja Hadi Milioni 50.

Huu ni msimu wa Maokoto.

Contact us now: 0677 222 460 / 0748 500 940
06/12/2024

Contact us now: 0677 222 460 / 0748 500 940

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 07:30 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wicom Finance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share