27/08/2026
Kulipia bidhaa yote kwa mara moja kunaweza kufanya ununuzi kuwa mzigo kwenye bajeti yako. πΈ
Ukiwa na Soko by Tunzaa, unaweza kuchagua bidhaa unayotaka na kuilipia kwa mpangilio unaokufaa.
Tunzaa kupitia Soko inakupa njia rahisi ya kufikia bidhaa mbalimbali bila kulazimika kumaliza malipo yote siku moja. ποΈ
Nunua kwa mpango wako. Lipia hatua kwa hatua. Fikia unachohitaji. π
π Anza leo kupitia soko.tunzaa.co.tz