endeleza_credit_facility_ltd

endeleza_credit_facility_ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from endeleza_credit_facility_ltd, Loan service, Dar es Salaam.

“Na hatukukutuma ila uwe rehema kwawalimwengu”Leo tunasherehekea kuzaliwa kwa Nur ya Ulimwengu.Siku ya kutafakari, kuong...
25/08/2026

“Na hatukukutuma ila uwe rehema kwa
walimwengu”

Leo tunasherehekea kuzaliwa kwa Nur ya Ulimwengu.

Siku ya kutafakari, kuongeza sala, na kueneza wema k**a alivyotufundisha Mtume.

Siku hii maalum inatukumbusha
kutafakari kwa undani rehema, hekima, na wema ambao Mtume alileta kwa wanadamu.

Tuzidishe dua zetu, tusambaze amani, na tumfuuate yeye.

Maulid Mubarak.!💙

21/08/2026

Fintech Festival Tanzania 2026

MIKOPO-ECFL

#0656566606 #0753544874

17/08/2026

#0753544874 #0656566606

Una kila sababu ya kuichagua MIKOPO-ECFL  linapokuja suala la ‘Dharura ya Kifedha’ kwa Dakika chache tuu bila masharti u...
10/08/2026

Una kila sababu ya kuichagua MIKOPO-ECFL linapokuja suala la ‘Dharura ya Kifedha’ kwa Dakika chache tuu bila masharti ukiwa na Kadi yako ya Gari tu unapata Mkopo mpaka Milioni 50.

Unangoja nini? Wakati ni sasa! Piga simu, tuma picha za Gari, fika ofisini jipatie Kitita chako Chaaaaaaapuuu 🤗

Ni rahisi sana ukiwa na namba za MIKOPO-ECFL
#0656566606 #0753544874

Njoo tukuvushe 💰💯

Heri ya Siku ya Nane nane! MIKOPO-ECFL tunathamini na kupongeza juhudi na mchango wa ‘WAKULIMA WOTE’ katika kuendeleza u...
08/08/2026

Heri ya Siku ya Nane nane! MIKOPO-ECFL tunathamini na kupongeza juhudi na mchango wa ‘WAKULIMA WOTE’ katika kuendeleza ustawi wa Taifa letu.

Tunatoa Elimu na Ushauri kuhusu masuala yote ya uchumi na biashara.
Tunatoa Huduma ya Mkopo wa Vifaa vya kilimo kwa riba nafuu ya 3.5% tu
Muda Rafiki wa marejesho.

Wasiliana nasi sasa: #0656566606 #0753544874

Tunawatakia wote maadhimisho mema.

🌾🌿🌴

Endesha bila wasiwasi ukiwa na Bima ya uhakika ya Chombo chako. Ni rahisi wakati wowote mahali popote. Tuma namba za gar...
02/08/2026

Endesha bila wasiwasi ukiwa na Bima ya uhakika ya Chombo chako. Ni rahisi wakati wowote mahali popote.
Tuma namba za gari kwa namba hii #0753544874

MIKOPO-ECFL  #0656566606  #0753544874
27/07/2026

MIKOPO-ECFL

#0656566606 #0753544874

MIKOPO-ECFL
02/07/2026

MIKOPO-ECFL

Usisubiri Majanga yakukute, Anza Leo kufurahia safari popote uendako ukiwa umefunika chombo chako na BIMA KUBWA/NDOGO to...
25/06/2026

Usisubiri Majanga yakukute, Anza Leo kufurahia safari popote uendako ukiwa umefunika chombo chako na BIMA KUBWA/NDOGO toka

Tunakopesha Bima ya magari kwa riba Nafuu kabisa.

Tuma taarifa zako Sasa upate Bima Yako ndani dakika 10 tu.

#0753544874


Usikae Kinyonge wiki yenye mafanikio inaanza na wewe, Amua sasa kukamilisha changamoto zote za kifedha na MIKOPO-ECFL MI...
15/06/2026

Usikae Kinyonge wiki yenye mafanikio inaanza na wewe, Amua sasa kukamilisha changamoto zote za kifedha na MIKOPO-ECFL
MIKOPO-ECFL

Kwa Kutumia Kadi yako ya Gari tu unapata Mkopo wa Haraka bila Masharti wala Gharama za ziada, kwa Riba Nafuu kabisa 🤗

Tupigie simu sasa:
#0656566606
#0753544874

Mkopo wa dharura
Mkopo wa Biashara
Mkopo wa wafanyakazi
Mkopo wa Ushuru
Mkopo wa Vifaa/Kupata Gari
Mkopo wa Bima ya Gari

Huduma zote ndani ya Saa 24 Chaaaaap 📞

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when endeleza_credit_facility_ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category