20/02/2025
Jina limetokea nani?
Kutuma pesa kwa namba isiyo sahihi kunaweza kuwa changamoto kwa biashara – kurudisha fedha si rahisi, na inaweza kusababisha ucheleweshaji wa malipo muhimu. Sasa, kwa ClickPesa Payouts, unaweza kuthibitisha jina la mpokeaji kabla ya kukamilisha malipo kwa M-PESA Africa, Airtel Money, na Mixx by Yas Tanzania.
Kwa nini hii ni muhimu kwa biashara yako?
➡️ Epuka makosa ya malipo – Hakuna tena kutuma pesa kwa namba isiyo sahihi.
➡️ Thibitisha mpokeaji kabla ya kutuma – Jenga uaminifu kwa wapokeaji wako.
➡️ Pesa yako iko salama – Hakuna tena pesa kupotea kwa makosa.
Fanya malipo kwa usahihi na kwa uaminifu zaidi. Thibitisha kabla ya kutuma!
Jaribu sasa! 👉 https://clickpesa.com/payment-gateway/disbursement/