Dcbbanktzplc

Dcbbanktzplc Benki ya DCB ni benki ya Biashara iliyopo nchini Tanzania. Benki inatoa huduma za kibenki.

🀣 Unaota Bodaboda Usiku Kuchomoka Asubuhi?Sio lazima uwe na mabilioni, kuanza na matairi mawili tu kunatosha kukutoa kim...
15/07/2025

🀣 Unaota Bodaboda Usiku Kuchomoka Asubuhi?

Sio lazima uwe na mabilioni, kuanza na matairi mawili tu kunatosha kukutoa kimasomaso πŸ›΅πŸ’¨

Tembelea tawi letu kabla ya ndugu zako wakudanganye na β€œnitakupigia kesho” πŸ˜…

πŸ’Ό DCB Tunakwamua mpaka ndoto zako zinapiga honi.

πŸ“ž Simu yako Moja tu: +255 659 077 000

🌐 www.dcb.co.tz | πŸ“±


Tarehe 11 July 2025, Benki ya Biashara DCB iliweza pia kutembelea mabanda ya Bima katika maonyesho ya Sabasaba yanayoend...
12/07/2025

Tarehe 11 July 2025, Benki ya Biashara DCB iliweza pia kutembelea mabanda ya Bima katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Trade Fair Grounds.

Katika ziara hiyo, wawakilishi kutoka Benki ya Biashara DCB walipata fursa ya kipekee ya kukutana na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), ambao ni wasimamizi na waangalizi wakuu wa sekta ya bima nchini. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kuendeleza ushirikiano baina ya taasisi za fedha na sekta ya bima, pamoja na kujifunza kwa karibu maboresho na fursa zilizopo kwenye soko la bima.

Ushirikiano huu ni sehemu ya dhamira ya DCB ya kuendelea kutoa huduma jumuishi na shirikishi kwa wateja wake, sambamba na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa huduma za bima kwa maendeleo ya kifedha ya jamii. Kupitia ushiriki huu, DCB inaendelea kujikita katika kutoa suluhisho bora za kifedha zinazojumuisha bidhaa za bima kwa ajili ya usalama wa mali na maisha ya Watanzania.

Benki ya Biashara DCB imeshiriki rasmi katika Siku Maalum ya Dar es Salaam (DSM Day 2025) yaliyofanyika tarehe 10 Julai ...
12/07/2025

Benki ya Biashara DCB imeshiriki rasmi katika Siku Maalum ya Dar es Salaam (DSM Day 2025) yaliyofanyika tarehe 10 Julai 2025, katika Ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi ndani ya Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba). Ushiriki huu umetokana na mwaliko rasmi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila. Tukio hili limewakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau mbalimbali kwa lengo la kujadili fursa za maendeleo na uwekezaji ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Kupitia ushiriki huu, DCB ilipata fursa ya kuonesha huduma na bidhaa zake za kifedha, kutoa elimu ya fedha kwa wananchi, na kushiriki mijadala kuhusu namna taasisi za kifedha zinavyoweza kuchangia katika ustawi wa jamii na uchumi wa mkoa. Ushiriki wa DCB unaonesha dhamira ya benki kuendelea kuwa mshirika wa karibu wa maendeleo, kuhakikisha huduma jumuishi, bora na zenye tija zinawafikia Watanzania wote.

Jipatie chombo cha kazi leo  ulipe kwa urahisi ndani ya miezi 24 yaani Miaka 2.DCB Benki inakupa mkopo wa Bodaboda, Baja...
10/07/2025

Jipatie chombo cha kazi leo ulipe kwa urahisi ndani ya miezi 24 yaani Miaka 2.

DCB Benki inakupa mkopo wa Bodaboda, Bajaji au Guta kwa masharti nafuu na malipo ya muda mrefu.

πŸ’ͺ Anza safari yako ya kipato sasa.

πŸ“Tembelea tawi la DCB lililo karibu nawe

πŸ“ž +255 659 077 000
🌐 www.dcb.co.tz


Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Sabasaba
07/07/2025

Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Sabasaba


Happy birthday to our Managing director,May this special day bring you joy, health, and success. Your leadership and vis...
07/07/2025

Happy birthday to our Managing director,May this special day bring you joy, health, and success. Your leadership and vision inspire us every day, and we’re grateful for your guidance and support. Here’s to another year of great achievements and milestones.

Cheers to you 🌹🌹

Jana tarehe 2 Julai 2025, Benki ya biashara DCB ilihudhuria kikao kilichoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. ...
03/07/2025

Jana tarehe 2 Julai 2025, Benki ya biashara DCB ilihudhuria kikao kilichoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, kilichofanyika katika Ukumbi wa Karimjee.

Kikao hicho kilihudhuriwa na wawakilishi kutoka taasisi mbalimbali za umma pamoja na Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi.

Lengo kuu la kikao hicho ilikua ni kujadili mikakati ya kibiashara na fursa mbalimbali zinazopatikana katika Jiji la Dar es Salaam, pamoja na kuendeleza na kuimarisha mahusiano bora ya kibiashara kati ya wadau wa sekta ya umma na binafsi.


Jana, tarehe 1 Julai 2025, timu ya mpira wa miguu ya DCB FC imeshiriki mashindano ya michezo yaliyoandaliwa na Tanzania ...
02/07/2025

Jana, tarehe 1 Julai 2025, timu ya mpira wa miguu ya DCB FC imeshiriki mashindano ya michezo yaliyoandaliwa na Tanzania Bankers Association (TBA), yenye lengo la kuimarisha ushirikiano na mshikamano miongoni mwa taasisi za kifedha nchini.

Timu yetu ilisindikizwa katika mashindano hayo na Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Sabasaba Moshingi, ambaye alitoa maneno ya hamasa kwa wachezaji kabla ya kuingia uwanjani na kuonyesha mshikamano wa hali ya juu na timu nzima.

Ushiriki huu ni sehemu ya juhudi za kuendeleza afya ya wafanyakazi, kujenga mahusiano bora na taasisi nyingine, pamoja na kukuza ushiriki katika shughuli za kijamii kupitia michezo.

Tunajivunia timu yetu kwa kuiwakilisha taasisi kwa heshima, nidhamu na ushindani wa hali ya juu.

Hongereni sana DCB FC.



πŸ’³ Shop kisha swipe.Kamisha malipo yako kwa urahisi ukitumia DCB Visa Card popote unaponunua bidhaa au huduma.πŸ“² Pakua app...
29/06/2025

πŸ’³ Shop kisha swipe.

Kamisha malipo yako kwa urahisi ukitumia DCB Visa Card popote unaponunua bidhaa au huduma.

πŸ“² Pakua app ya DCB Pesa Plus au piga *150*85 # kukamilisha Malipo sasa.

Tembelea tawi la Benki ya Biashara DCB lililopo karibu nawe kufungua akaunti leo.

πŸ‘‰ Vigezo na masharti kuzingatiwa.





Usikubali Kupitwa na Fursa  Wekeza Sasa na DCB!πŸš€Fursa ya Lamba Mkwanja inakaribia kufungwa Huu ndio wakati sahihi wa kuc...
27/06/2025

Usikubali Kupitwa na Fursa Wekeza Sasa na DCB!πŸš€

Fursa ya Lamba Mkwanja inakaribia kufungwa Huu ndio wakati sahihi wa kuchukua hatua na kuwekeza ili uongeze kipato chako. Benki ya Biashara DCB inakupa nafasi ya kipekee ya kufaidika kupitia huduma bora za kifedha zinazokidhi mahitaji yako.

Usisubiri hadi mwisho chukua hatua leo na uwe sehemu ya mafanikio ya kifedha. Wekeza kwa ujasiri kupitia DCB na jiaminishe kifedha kwa kesho iliyo bora.

βœ… Tembelea tawi la DCB lililopo karibu nawe
βœ… Fungua akaunti kwa urahisi
βœ… Anza safari yako ya uwekezaji na DCB leo

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi: +255 659 077 000
🌐 Tovuti: www.dcb.co.tz
πŸ“² Mitandao ya kijamii:

Benki ya Biashara DCB ni Benki inayowekeza katika mafanikio yako πŸ’°


Faida kubwa kwa akiba yako.Akaunti ya Lamba Mkwanja ni suluhisho bora kwa mipango yako ya kifedha kwani inakupa riba ya ...
26/06/2025

Faida kubwa kwa akiba yako.

Akaunti ya Lamba Mkwanja ni suluhisho bora kwa mipango yako ya kifedha kwani inakupa riba ya hadi 13.5%
Tembelea tawi la DCB karibu nawe kufungua akaunti sasa.



Address

DCB House, Magomeni Mwembechai, Morogoro Road
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:30
Tuesday 09:00 - 16:30
Wednesday 09:00 - 16:30
Thursday 09:00 - 16:30
Friday 09:00 - 16:30
Saturday 09:00 - 12:00
Sunday 09:00 - 12:00

Telephone

+255659077000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dcbbanktzplc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dcbbanktzplc:

Share