24/06/2025
DAR: Siku moja kabla ya mchezo dhidi ya kwenye Uwanja wa Mkapa, Uongozi wa haujatuma wawakilishi katika Mkutano uliohusisha Wanahabari ambao ni maalum kwa ajili ya kuzungumzia mtanange huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika kesho Jumatano Juni 25, 2025
Taratibu za Ligi hiyo ni kuwa siku moja kabla ya mchezo, timu husika zinatakiwa kutuma Kocha na Mchezaji kuzungumza na Wanahabari kuhusu mchezo unaofuata ambapo ni ratiba pia inayofuatwa na Azam TV ambao wanahusika kurusha matangazo ya Ligi
Soma https://jamii.app/SimbaMkutanoni