Wiboinsurance

Wiboinsurance Wataalamu wetu wapo tayari kukusaidia.

Kila mtu anahitaji bima, iwe ni kulinda Makazi, vyombo vya moto, Biashara, Bima ya afya Wakandarasi nk, Wakala wako wa bima Wibo Insurance hutoa bima zote, ni muhimu kujua thamani ya huduma za bima zinazopatikana.

Eid Mubarak.
15/05/2021

Eid Mubarak.

Happy mother's day
09/05/2021

Happy mother's day

17/04/2021
Tukiwa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani WIBO INSURANCE inawatakia waislamu wote Mfungo mwema wa mwezi ...
13/04/2021

Tukiwa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani WIBO INSURANCE inawatakia waislamu wote Mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, tupendane, tushik**ane, na tuzidishe kufanya ibada katika mwezi huu wa Toba. Ramadhan kareem wa swaum Maqbul



Makandarasi Bima zenu hizo hapo, Wataalamu wetu wapo tayari kukuhudumia piga simu namba 0736 363 666 namba hii pia inapa...
06/04/2021

Makandarasi Bima zenu hizo hapo, Wataalamu wetu wapo tayari kukuhudumia piga simu namba 0736 363 666 namba hii pia inapatikana WhatsApp hivyo tunaweza kuwasiliana kupitia Mtandao wa WhatsApp na tukakupa maelezo kwa kina zaidi karibuni sana.


Mkurugenzi mkuu na Wafanyakazi wa WIBO INSURANCE Tunakutakieni heri na fanaka katika Pasaka hii
04/04/2021

Mkurugenzi mkuu na Wafanyakazi wa WIBO INSURANCE Tunakutakieni heri na fanaka katika Pasaka hii

26/03/2021

WIBOINSURANCE Tunashukuru sana ni kitu kikubwa sana kwetu ndani ya mwezi na nusu tangu wiboinsurance iingie katika mtandao wa kijamii wa Instagram. Akhsanteni sana.


Wibo Insurance inatoa Hongera za dhati kwa Mama Samia Suluhu kwa kuapishwa na kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanza...
19/03/2021

Wibo Insurance inatoa Hongera za dhati kwa Mama Samia Suluhu kwa kuapishwa na kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Tukiwa bado katika sherehe za mwezu huu maalum kwa Wanawake wote duniani Wiboinsurance inawatakia mafanikio mema katika ...
10/03/2021

Tukiwa bado katika sherehe za mwezu huu maalum kwa Wanawake wote duniani Wiboinsurance inawatakia mafanikio mema katika kila harakati zenu na tupo bega kwa bega nanyi, kuhakikisha mnapata huduma za Bima zitakazo waondolea wasiwasi wa kupata hasara katika mali na kazi zenu au wasi wasi wa kujilipia matibabu.

Bima za Afya |
Bima za Moto |
Bima za Magari |
Bima za Wakandarasi |

Zote unazipata hapa kwa urahisi,uhakika na haraka sana.

WIBOINSURANCE



Sasa WIBO INSURANCE inapatikana katika Mtandao wa kijamii wa Twitter kwa jina la  karibu tukuhudumie.
01/03/2021

Sasa WIBO INSURANCE inapatikana katika Mtandao wa kijamii wa Twitter kwa jina la karibu tukuhudumie.


Wibo Insurance inakupa urahisi wewe mkataji wa Bima za Magari, sasa kupitia Simu, Tablet au computer unaweza kukata bima...
28/02/2021

Wibo Insurance inakupa urahisi wewe mkataji wa Bima za Magari, sasa kupitia Simu, Tablet au computer unaweza kukata bima yako ya gari kwa kubonyeza link iliyoambatanishwa katika BIO au kwa WhatsApp




https://forms.gle/CmGr8EPXk53qZWp77

Kuna BIMA KUBWA na BIMA NDOGO za Magari , Uchaguzi ni wako unapotaka kuikatia Bima Gari yako, BIMA NDOGO ni kwa ajili  y...
16/02/2021

Kuna BIMA KUBWA na BIMA NDOGO za Magari , Uchaguzi ni wako unapotaka kuikatia Bima Gari yako, BIMA NDOGO ni kwa ajili ya Mtu wa tatu (third party) inapotokea ajali Bima hii itafanya malipo kwa mtu uliye msababishia ajali italipa gharama za Chombo chake cha moto, Mali zake, pamoja na kuhudumia gharama za matibabu k**a atakua amejeruhiwa.

BIMA NDOGO haitakulipia wewe wala yeyote aliye kuwa ndani ya gari lako wakati wa ajali.

Faida kuu ni itakupunguzia mzigo wa kumlipa mtu uliye msababishia ajali na wewe utalipa gharama zako tu.

WIBO INSURANCE tunatoa Bima hii kwa gharama ya Tsh.118000/= kwa mwaka mzima Wasiliana nasi sasa tuweze kukukatia Bima yako.

Address

Morocco Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wiboinsurance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wiboinsurance:

Share