Watu Tanzania

Watu Tanzania Pata mkopo wa bodaboda, smartphone na tuktuk leo leo! Vigezo rahisi | Rejesho dogo kwa wiki | Uwazi

Tunawatakia wateja wetu wote, wadau wetu mbali mbali, na wafanyakazi wetu heri na baraka za Maulid
25/08/2026

Tunawatakia wateja wetu wote, wadau wetu mbali mbali, na wafanyakazi wetu heri na baraka za Maulid

17/08/2026

Wakubwa wa mikopo ya Tuk-Tuk na Pikipiki kwa bei nafuu ndio sisi! K**a vigezo vyako vimetimia, anza harakati za wiki mpya kwa kufika katika matawi yetu au vituo vya mauzo na upate mkopo wako na kuondoka na chombo chako leo leo!

14/08/2026

Epuka kukaa kwenye mafoleni wakati njia za kujihudumia mwenyewe zipo!

Kupitia Watu App unaweza kulipia rejesho lako, kuangalia salio, na kufuatilia miamala yako yote katika sehemu moja.

Pakua sasa, na ujihudumie!

Wakati ujao ni wa kwao, huu ndio muda wa kuwapa fursa. Taifa la kesho ni vijana wetu!
12/08/2026

Wakati ujao ni wa kwao, huu ndio muda wa kuwapa fursa.

Taifa la kesho ni vijana wetu!

Tunasogea karibu na mlango wako kukusikiliza na kukuletea huduma zetu!Usipitwe na fursa hii ya kipekee. Tukutane kesho m...
11/08/2026

Tunasogea karibu na mlango wako kukusikiliza na kukuletea huduma zetu!

Usipitwe na fursa hii ya kipekee. Tukutane kesho mapema!

Wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa wateja 0659 076 969 kwa sasa. Asante kwa uvumilivu na ushirikiano wako.
10/08/2026

Wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa wateja 0659 076 969 kwa sasa.

Asante kwa uvumilivu na ushirikiano wako.

Namba yetu ya huduma kwa wateja ina hitilafu ya muda kwa sasa. Kwa msaada, tafadhali wasiliana nasi kupitia:• WhatsApp y...
10/08/2026

Namba yetu ya huduma kwa wateja ina hitilafu ya muda kwa sasa. Kwa msaada, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

• WhatsApp ya Huduma kwa Wateja: 0777 716 615
• Kurasa za Mitandao ya Kijamii: Watu Tanzania
• Watu App: Live Chat
• Barua Pepe: [email protected]

Asante kwa uvumilivu na ushirikiano wako.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255800750228

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watu Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share