ICEA LION TZ

Call Directions Website Contact the business

ICEA LION TZ ICEA LION is a one-stop-shop for your general insurance needs. We provide innovative products and services in motor, travel, home insurance and more.

Highlights TIBA BBQ DINNER.
29/09/2026

Highlights TIBA BBQ DINNER.

28/09/2026

Thank you for trusting ICEA LION General Insurance to be part of your journey.

Highlights TIBA Conference 2026.
25/09/2026

Highlights TIBA Conference 2026.

23/09/2026

When your work involves professional advice or expertise, an unexpected mistake can have a big impact on your business.

With our Professional Indemnity Insurance Plan, you get protection against claims arising from errors that happened while working.

For more information about this plan, call us today at 0754 400 455.



Mvua za El Niño zinazokuja zinaweza kuleta athari mbalimbali k**a mafuriko, uharibifu wa nyumba na mengineyo mengi. Usis...
21/09/2026

Mvua za El Niño zinazokuja zinaweza kuleta athari mbalimbali k**a mafuriko, uharibifu wa nyumba na mengineyo mengi.

Usisubiri hadi mvua zianze ndipo uanze kujiandaa.

Hakikisha mifereji ya maji iko safi, mazingira yako hayana vitu vinavyoweza kuziba njia za maji, na una mahitaji muhimu ya kutosha ndani.

Na muhimu zaidi, linda nyumba na mali zako dhidi ya hasara zisizotarajiwa kwa kukata bima mapema kutoka ICEA LION General Insurance.

Kwa ushauri kuhusu bima ya nyumba na mali zako, wasiliana nasi kupitia 0754 400 455.

Ulikuwa unafahamu kuwa unaweza kuvilinda vitu vyako vya thamani ulivyo navyo nyumbani k**a TV, Fridge, Radio, PS5, Furni...
18/09/2026

Ulikuwa unafahamu kuwa unaweza kuvilinda vitu vyako vya thamani ulivyo navyo nyumbani k**a TV, Fridge, Radio, PS5, Furniture na vingine vingi kwa pamoja ndani ya Bima ya Makazi kutoka ICEA LION General Insurance?

Ndani ya plan moja, unapata ulinzi wa mali zako mbalimbali za nyumbani dhidi ya matukio yasiyotarajiwa.

Tupigie leo kupitia 0754 400 455 au tembelea tawi/wakala wa ICEA LION General Insurance aliye karibu nawe kupata maelezo zaidi.




Majanga yanaweza kutokea muda na saa yoyote ile, fanya uamuzi sahihi wakujilinda kwa kukata bima yako mapema, iwe ni ya ...
15/09/2026

Majanga yanaweza kutokea muda na saa yoyote ile, fanya uamuzi sahihi wakujilinda kwa kukata bima yako mapema, iwe ni ya gari, nyumba, biashara, safari nk ili pindi janga litakapotokea uwe upande salama.

Karibu utupigie kupitia 0754 400 455 upate plan yako leo.



Jumatatu ya miaka ile kwenye kampuni yako pendwa ya Bima.
14/09/2026

Jumatatu ya miaka ile kwenye kampuni yako pendwa ya Bima.

Jumatatu ya miaka ya themanini ICEA LION GENERAL INSURANCE
14/09/2026

Jumatatu ya miaka ya themanini ICEA LION GENERAL INSURANCE

11/09/2026

Ukiwa na plan ya kusafiri, usisahau kuwa na Bima ya Safari kutoka ICEA LION General Insurance itakayokuhakikishia unakuwa salama kipindi chote cha safari yako.

Safiri kwa kujiamini.Safiri na Simba Wa Bima.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0754 400 455.



Address

Mikocheni/kambarage Road( Near TPDC Residence)
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 04:45
Tuesday 08:00 - 04:45
Wednesday 08:00 - 04:45
Thursday 08:00 - 04:45
Friday 08:00 - 04:45

Telephone

+255754400455

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ICEA LION TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ICEA LION TZ:

Shortcuts

Share