Lawi Insurance

Lawi Insurance We are Number One Insurance agency with a 24/7 service to our clients.

Bima ya kinga ya maisha zipo za aina mbalimbali k**a Bima za mikopo,bima za elimu,bima za nafaka na malipo ni rafiki kab...
18/11/2022

Bima ya kinga ya maisha zipo za aina mbalimbali k**a Bima za mikopo,bima za elimu,bima za nafaka na malipo ni rafiki kabisa unaweza lipa kidogo kidogo au kwa mkopo.

Epuka usumbufu barabarani na hakikisha umekata bima ya Gari yako uweze kuendesha bila wasiwasi.
31/10/2022

Epuka usumbufu barabarani na hakikisha umekata bima ya Gari yako uweze kuendesha bila wasiwasi.

Ishi bila hofu ya maendeleo ya kesho yako wewe na familia yako kwa kuhakikisha umekata bima ya maisha. Tupigie kwenye na...
21/10/2022

Ishi bila hofu ya maendeleo ya kesho yako wewe na familia yako kwa kuhakikisha umekata bima ya maisha. Tupigie kwenye namba 0677 22 99 22 tukuBIME fasta.

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwl, Julius Kambarage...
14/10/2022

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwl, Julius Kambarage Nyerere.

Tunatoa bima kubwa na bima ndogo kwa ajili ya chombo chako cha usafiri. Wasiliana nasi sasa kwa namba 0677 22 99 22 tuku...
10/10/2022

Tunatoa bima kubwa na bima ndogo kwa ajili ya chombo chako cha usafiri. Wasiliana nasi sasa kwa namba 0677 22 99 22 tukuhudumie.

Maulid Mubarak!
09/10/2022

Maulid Mubarak!

Ni muhimu kuingika biashara yako. Kata Bima ili upatapo  majanga usipate pressure wala mawazo maana utafidiwa hasara ili...
30/09/2022

Ni muhimu kuingika biashara yako. Kata Bima ili upatapo majanga usipate pressure wala mawazo maana utafidiwa hasara iliyopatikana.

Karibu Lawi Insurance tukusaidie kukata bima ya gari yako na Bima ya Maisha chap chap. Wasiliana nasi kwa namba 0677 22 ...
27/09/2022

Karibu Lawi Insurance tukusaidie kukata bima ya gari yako na Bima ya Maisha chap chap. Wasiliana nasi kwa namba 0677 22 99 22.

Moto usiwe chanzo cha kuvuruga mipango yako ya kimaendeleo na kukurudisha nyuma. Kinga mali zako kwa kuhakikisha unazika...
15/09/2022

Moto usiwe chanzo cha kuvuruga mipango yako ya kimaendeleo na kukurudisha nyuma. Kinga mali zako kwa kuhakikisha unazikatia bima. Tupigie chap kwenye namba 0677 22 99 22 tukuhudumie.

Wape hakika ya kesho yao katika safari yao ya masomo kwa kuhakikisha umewakatia bima ya ELIMU. Wasiliana nasi kwa namba ...
07/09/2022

Wape hakika ya kesho yao katika safari yao ya masomo kwa kuhakikisha umewakatia bima ya ELIMU. Wasiliana nasi kwa namba 0677 22 99 22 tukuhudumie.

Kata bima ya chombo chako cha usafiri sasa ili kuepuka usumbufu barabarani lakini pia gari inapopata ajali utakua huna w...
31/08/2022

Kata bima ya chombo chako cha usafiri sasa ili kuepuka usumbufu barabarani lakini pia gari inapopata ajali utakua huna wasiwasi kwani Bima yako Itakua suluhisho lako.

Bima ya AHADI ni mahsusi kulinda mali zako k**a nyuma, biashara yako au ofisi yako dhidi ya majanga k**a moto , wizi na ...
26/08/2022

Bima ya AHADI ni mahsusi kulinda mali zako k**a nyuma, biashara yako au ofisi yako dhidi ya majanga k**a moto , wizi na uharibifu. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0677 22 99 22.

Address

Tancot House, Wing A Pamba/Sokoine Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lawi Insurance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lawi Insurance:

Share