24/08/2023
⚠️ Kwanini 20 % Tu Ya Forex Traders Ndio Hufanikiwa Katika Biashara Ya Trading?….
Unaweza ukajiuliza Forex Trading ni Nini ? Nitaenda kukuelewesha Ndani ya sekunde Tano zijazo
Forex Trading ( Fx au Forex ) Ni Biashara ya uuzaji na ununuaji wa Fedha za kigeni kwa lengo Binafsi au kutengeneza Faida.
Biashara hii Hufanyika katika soko kubwa la kifedha ulimwenguni (Forex Market) ambalo linaundwa kwa Muunganiko wa Mabenki , Kampuni za Biashara 🏢, Benki Kuu 🏦 , kampuni za usimamizi wa wawekezaji na wafanyabiashara Binafsi …..
wote wakiwa na lengo la kubadilisha Fedha za kigeni kwa Kuwezesha Mambo k**a Utalii , Uwekezaji au Kutengeneza Faida 💰.
Ili Kutengeneza Faida k**a Mfanyabiashara Binafsi ( Retail Forex Trader ) katika soko la Forex unahitaji Kua na Ujuzi …….
Unaweza Kujiuliza Ni Ujuzi gani ….???
Kwanza kabisa Nitaenda kukuonesha Sababu-KUU zinazoathiri Mabadiliko ya bei za Sarafu ya Nchi Husika katika soko hili ya kifedha
Sababu Hizo ni k**a ifuatavyo …
-viwango vya mfumuko wa bei ( Inflation Rates)
-viwango vya riba (interest Rates )📈📉
-ukuaji wa uchumi ( Economic Growth )
-utulivu wa kisiasa ( political stability )⚖️
na matukio ya kijiografia
Hivyo wanunuzi na wauzaji Hutumia Sababu hizo Kutengeneza Faida.
…. kwaio Forex Trader Hutumia Sababu Hizo kufanya Maamuzi sahihi ya Biashara pamoja na njia Nyingine za kiuchunguzi kutengeneza Faida.
Ikumbukwe…..
“Katika Chati ya Bei ya sarafu Husika - Bei Hua ina Tabia ya kutengeneza Alama Au viwango fulani ambavyo vina Maana sana kwa wawekezaji kufanya Maamuzi “
MAAMUZI yako katika biashara ndio yatasimamia Mafanikio yako
…Hivyo k**a unataka kufanikiwa kupitia Biashara ya Forex Trading ni lazima Uwe na TAARIFA na MAARIFA sahihi Ili usiwe Miongoni Mwa 80% ya LOSERS🛑.!!
Tunaishi katika Ulimwengu wa Internet ambao Taarifa Ni Nyingi kupita Maelezo ….
Pia Taarifa Sahihi Hutaweza kukipata kwa kila Mtu maana …
“ Ni Vitu Vidogo sana almost 5% unavyotakiwa kuvizingatia ili uweze kufanikiwa katika Biashara ya Forex “
Kuna SIRI⚠️ na MBINU 🔱 Nyingi Ambazo 20% ya Watu waliofanikiwa kupitia Hii Biashara
Wanazijua …..
Hivyo Nimeanzisha Page Hii Ili Tubadilishe Fikra zetu za zamani kuhusu Trading..
Tubadilishe Mtazamo wetu katika Masoko Haya kwa Kuacha Kutumia Njia Ambazo Zimepitwa na Wakati ( Obsolete ways )
Tuwe Miongoni mwa 1% ya watu wanaobadilisha Maisha Yao kupitia Forex Trading.
⚠️GOOD NEWS : Hujachelewa maana Inawezekana kwa 100%
Kwanza :Follow Page Yetu ✅
Pili : Bonyeza Ujumbe unaosomeka SEND MESSAGE chini ya Hii post
Tatu: Andika Neno “FREE LEVEL 01“
# Mafunzo Yote Ni ✅BURE KABISA ✅ Ili Wote Tufikie 💪“ Financial Freedom “
Mr. Obsolete
hate Obsolete Ideas