SM investment limited company

SM investment limited company Investment and innovation services

EXPA,Tunafuraha kutangaza kuwa "SMART MILLIONAIRES" sasa ipo kwenye muendelezo wa kufanyauwekezaji wake kwenye mradi wa ...
27/03/2023

EXPA,
Tunafuraha kutangaza kuwa "SMART MILLIONAIRES" sasa ipo kwenye muendelezo wa kufanya
uwekezaji wake kwenye mradi wa EXPA (Explorer and get Paid) ni uwekezaji wa mwanzo ambao
unagharimu USD 500, 000, wenye makadilio ya kupata USD 6 bilioni kwa mwaka wake wa tano wa biashara, kushiriki kufanya uwekezaji au kuongeza ubunifu katika mradi huu, tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Moja ya lengo la mradi huu kati ya mengi ni kuwawezesha watangazaji bidhaa au huduma kupata matokeo chanya ya utangazaji wao hadi kufikia asilimia
60%-100% , hivyo kwa mfano umetangaza unauza simu au huduma ukifikia watu 10, basi watu 6 au 10 lazima wanunue simu au huduma.
Maelezo zaidi, wasiliana nasi au k**a unavutiwa na ubunifu na uwekezaji katika technology.

SMART MILLIONAIRES, Tunatoa pongezi ya miaka miwili ya utawala wako, Mh
20/03/2023

SMART MILLIONAIRES, Tunatoa pongezi ya miaka miwili ya utawala wako, Mh

He always say; there’s always a way, a new one and the best.
14/03/2023

He always say; there’s always a way, a new one and the best.

01/03/2023

Edina Adolf: Mhasibu Wa SMART MILLIONAIRES.

24/02/2023

Tuna furaha kwa ajili yako, Mkurugenzi: Achleus Respicius Magembe! Karibu.

Tuko hapa kwa mustakabali mwema wa wanachama wetu, sisi wenyewe na jamii.-Karibu ofisini kwetu au wasiliana nasi, k**a u...
21/02/2023

Tuko hapa kwa mustakabali mwema wa wanachama wetu, sisi wenyewe na jamii.
-Karibu ofisini kwetu au wasiliana nasi, k**a ungependa kuwa mmoja wa wanachama wetu; wawekezaji au wabunifu.

16/02/2023

SMART MILLIONAIRES; Tunapenda kushirikisha mafanikio yetu tuliyopata mwaka 2022.

Mwaka 2022, umekuwa mwaka Bora kwetu na wenye kutoa matokeo chanya kwetu na jamii.

- Tumefanikiwa kuwafikia watu zaidi ya 500,000, tumefanikiwa kuunga wanachama wawekezaji na wabunifu 1009.

-Tumefanikiwa kutoa elimu ya ubunifu, uwekezaji na biashara kwa watu zaidi ya elfu 5000.

-Tumeshiriki miradi ya uwekezaji na ubunifu 25, Yenye thamani ya zaidi ya Tsh. 1.9 bilioni.

-Aidha huduma, ujuzi, nguvu kazi na mafanikio yetu na kwenye miradi yamekuwa yakiongezeka Kilasiku.

-Tunatarajia kufanya bora zaidi, mwaka huu.

SMART MILLIONAIRES tunafuraha kuwa mabadiliko katika jamii. Na wewe ni moja ya wanao ingia mjengoni leo?😁, Tupo hapa tun...
03/02/2023

SMART MILLIONAIRES tunafuraha kuwa mabadiliko katika jamii. Na wewe ni moja ya wanao ingia mjengoni leo?😁, Tupo hapa tunakusubiri au Wasiliana nasi kwa namba zetu na email.

Tunakutakia heri ya Christmas ana Mwaka mpya wewe na familia yako.
25/12/2022

Tunakutakia heri ya Christmas ana Mwaka mpya wewe na familia yako.

HABARI KWA WABUNIFU WOTE NA WAWEKEZAJI WANAOVUTIWA KUWEKEZA KWA START UP,MAWAZO BORA YA BIASHARA NA TENDER, sasa mnaweza...
03/09/2022

HABARI KWA WABUNIFU WOTE NA WAWEKEZAJI WANAOVUTIWA KUWEKEZA KWA START UP,MAWAZO BORA YA BIASHARA NA TENDER, sasa mnaweza kujiunga k**a wanachama wetu.

1.WABUNIFU mnatakiwa kujiunga k**a wanachama wetu na kuwasilisha bunifu/mawazo ya biashara kabra ya tarehe 30/09/2022 kwa muhula huu.

3. Wawekezaji mnatakiwa kujiunga kuwa wanachama na kusubiri kuwekeza, 01/12/2022 baada ya sisi kupokea mawazo ya biashara, kufanya uchunguzi na kujilidhisha nayo kibiashara.

Vigezo;
a) kuwa mwanachama mbunifu au muwekezaji utalipa Tsh 40,000 kwa ajiri ya T-shirt na kitambulisho.

b) Muwekezaji lazima Uwe na uweza wa kuwekeza kuanzia Tsh 2.5M kuendelea, kwani tunawawekeji wa aina 3 tu, Senior, VIP, VVIP.

c)Mbunifu hakikisha unabunifu ambazo zinahusu Technology, kwa kuzingatia sector ambazo tumeainisha kwenye tovuti yetu.

Angalizo
1; Siyo bunifu zote za wanachama wetu zitafanyiwa uwekezaji, kwani tunachangua zilizo bora na manufaa kibiashara.

2; Uwekezaji ni hatari, kwani hautabiriki wakati mwingine, sisi tumejipanga kupambana na hatari hizo, tunakushauri wewe kuonana na mshauri wako wa fedha au wetu ili kupata ushauri zaidi kuhusu uwekezaji.

Kwa maelezo zaidi!
Piga: +255 69 236 1459
Email: [email protected]
Tovuti: www.smartmillioners.com
Office: Mbezi beach, Afrikana, Big D.

Haijalishi ni wazo zuri kiasi gani la biashara, haijalishi una akili kiasi gani, haijalishi wazo lako ni la kiubunifu ki...
18/08/2022

Haijalishi ni wazo zuri kiasi gani la biashara, haijalishi una akili kiasi gani, haijalishi wazo lako ni la kiubunifu kiasi gani, haijalishi ni kiasi gani pesa unazokusanya.

-Jua jinsi ya kujenga na kusimamia, shirika au biashara yako.

Watu wengi wamekuwa wakizani kukusanya pesa nyingi kwanye biashara zao na kupata uwezo wa kufanya shughuli nyingi kwenye biashara ndiko kutawapa mafanikio, LAKINI ukweli ni kwamba k**a hutoweza kujenga misingi na usimamizi mzuri kwenye biashara yako, huto weza kufakia malengo hata kidigo, hata ukiwa na sababu zote hapo juu.

18/08/2022

Address

Mbezi Beach-Afrikana
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30

Telephone

+255758628373

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SM investment limited company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SM investment limited company:

Share