01/07/2025
ππ‘ Unajiandaa kwa safari ndefu? Usisahau haya kabla ya kuanza safari yako:
β
Kukagua maji ya radiator
β
Hydraulic & transmission fluid
β
Fire extinguisher
β
Triangle na jack ya gari
β
Tairi la akiba
π§ Usalama wako unaanza na maandalizi sahihi! Ndiyo maana tupo hapa kuhakikisha unaelekea salama β na ukiwa na bima sahihi kutoka MGen Tanzania.
π Video hii imerekodiwa moja kwa moja kutoka viwanja vya Saba Saba ambapo MGen Tanzania itakuwepo kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kuanzia Juni 28 hadi Julai 13, 2025!
π Tembelea banda letu upate:
Huduma za bima papo kwa papo
Ushauri wa kitaalamu kuhusu usalama barabarani
Elimu ya kifedha na zawadi maalum!
π Wasiliana nasi: +255 754 666 115
π Tembelea tovuti: www.mgentanzania.co.tz
π² Scan QR Code upate bima yako kwa haraka β hata kabla hujaanza safari yako!