Bumaco Insurance Company Ltd

Bumaco Insurance Company Ltd Bumaco Insurance is an insurance company with over 38+ years of experience in providing both motor,

Kampuni Zako Za Bima Bumaco Insurance na Bumaco Life,Tuko NaneNane Dodoma Karibu Upate Elimu ya Bima Kutoka Kwa Maafisa ...
04/08/2026

Kampuni Zako Za Bima Bumaco Insurance na Bumaco Life,Tuko NaneNane Dodoma Karibu Upate Elimu ya Bima Kutoka Kwa Maafisa wa Bima Bumaco Insurance Dodoma, Bi. Carolyn Kwayu na Bi. Anna Ibobo.

Mapema Leo Asubuhi Kampuni Zako Za Bima Bumaco Insurance na Bumaco Life, tumetembelewa na RAS wa Singida, Bi. Fatuma Mag...
04/08/2026

Mapema Leo Asubuhi Kampuni Zako Za Bima Bumaco Insurance na Bumaco Life, tumetembelewa na RAS wa Singida, Bi. Fatuma Maganga, Akipata Elimu ya Bima Kutoka Kwa Afisa Bima wa Bumaco Insurance Dodoma, Bi. Anna Ibobo.

Kampuni Zako Za Bima, Bumaco General na Bumaco Life wametembelewa Kwenye Banda la NaneNane Dodoma na Afisa Bima Wa TIRA ...
03/08/2026

Kampuni Zako Za Bima, Bumaco General na Bumaco Life wametembelewa Kwenye Banda la NaneNane Dodoma na Afisa Bima Wa TIRA Dodoma ,Madam Mweni Almasy, Alipokelewa na Afisa Bima Bumaco Insurance Dodoma, Bi. Anna Ibobo.

01/08/2026
Mapema Leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Yako Ya Bima, Bumaco Insurance, Dkt. Shirumisha C. Kwayu, Meneja wa Bancassura...
31/07/2026

Mapema Leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Yako Ya Bima, Bumaco Insurance, Dkt. Shirumisha C. Kwayu, Meneja wa Bancassurance General, Bw. Gudluck Shangali, Meneja Wa Ushirika Bumaco, Bw. Gasto Mrema, Meneja wa wa Bancassurance Bumaco Life, Bw. Vicent Kimaro , Meneja wa Marejesho Mikopo Ya Bima, Bw. Samson Kwayu, Meneja Tawi Bumaco Insurance Dodoma Bw. Rajaab Mpili na Afisa Bima Dodoma Anna Ibobo waliwasili Katika Mkutano Mkuu wa Pili Wa Wanahisa wa Ushirika Co-operative Bank Tanzania Plc Mkutano unaofanyika siku ya leo, ljumaa ya tarehe 31 Julai, 2026 katika Ukumbi wa Mabeyo Social Hall, jijini Dodoma.

Kampuni ya Bumaco Insurance Pamoja na Bumaco Life Insurance ni Moja Ya Wanahisa Wa Benki hiyo ya Ushirika. Pia Wameshiriki K**a Sehemu Ya Wadhamini Wa Mkutano Huo.

Mkutano Mkuu wa Pili Wa Wanahisa wa Ushirika Co-operative Bank Tanzania Plc Mkutano  unaofanyika siku ya leo, ljumaa ya ...
31/07/2026

Mkutano Mkuu wa Pili Wa Wanahisa wa Ushirika Co-operative Bank Tanzania Plc Mkutano unaofanyika siku ya leo, ljumaa ya tarehe 31 Julai, 2026 katika Ukumbi wa Mabeyo Social Hall, jijini Dodoma.

Kampuni ya Bumaco Insurance Pamoja na Bumaco Life Insurance ni Moja Ya Wanahisa Wa Benki hiyo ya Ushirika. Pia Wameshiriki K**a Sehemu Ya Wadhamini Wa Mkutano Huo.

Kampuni Zako Za Bima, Bumaco Insurance Na Bumaco Life  wametembelewa na Balozi wa Ushirika Co-operative Bank Tanzania Pl...
31/07/2026

Kampuni Zako Za Bima, Bumaco Insurance Na Bumaco Life wametembelewa na Balozi wa Ushirika Co-operative Bank Tanzania Plc Coop Bank Tanzania Bw. Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji Masanja Mkandamizaji Kwenye Banda lao, Pichani Kutokea Kulia Ni Meneja Tawi Dodoma Bw. Mpili Rajaab, Meneja Ushirika Bumaco Insurance Bw. Gasto Mrema, Meneja wa Bancassurance Bw. Gudluck Shangali pamoja na Afisa Bima Bumaco Insurance Dodoma, Bi. Anna Ibobo

Katika Mkutano Mkuu wa Mwaka (17) Uliofanyikia Bumaco Word Center Machame Hai, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Yako  Ya B...
25/07/2026

Katika Mkutano Mkuu wa Mwaka (17) Uliofanyikia Bumaco Word Center Machame Hai, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Yako Ya Bima,Bumaco Insurance, Dkt. Shirumisha C. Kwayu alitoa Muelekeo na Mikakati Ya Kampuni Katika Kuhakikisha Unapata Huduma Za Bima Zenye Uhakika

Katika Mkutano Mkuu wa Mwaka (17) Uliofanyikia Bumaco Word Center Machame Hai, Mwenyekiti wa Bodi ya Bumaco Insurance, B...
25/07/2026

Katika Mkutano Mkuu wa Mwaka (17) Uliofanyikia Bumaco Word Center Machame Hai, Mwenyekiti wa Bodi ya Bumaco Insurance, Bw. Happiness Nkya alitoa neno la ukaribisho na kutangaza rasmi kuanza kwa kikao kwa mujibu wa katiba ya kampuni.

Address

Dar Es Salaam, Posta, Garden Ave/Azikiwe Street, Car And General Building 1st Floor
Dar Es Salaam
11102

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:30

Telephone

+255764302860

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bumaco Insurance Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bumaco Insurance Company Ltd:

Shortcuts

Share