03/06/2026
Ili uweze kufaidika kikamilifu na huduma za Snippe, ni muhimu biashara yako iwe imehakikiwa (Verified).
Kupitia Snippe, unaweza kutumia huduma zetu k**a:
• Mfanyabiashara Binafsi (Sole Proprietor)
• Kampuni au Biashara
• NGO / Taasisi
Kufanya verification kunaongeza uaminifu wa biashara yako, kunarahisisha kupokea malipo, na kuhakikisha akaunti yako inalindwa kwa usalama zaidi.
Je, tayari ume-verify biashara yako kwenye Snippe? 👀
Tembelea www.snippe.me ujisajili na ukamilishe verification yako leo.
Kwa msaada zaidi, tupigie:
📞 +255 699 920 009