Pasky insurance Agency

Pasky insurance Agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pasky insurance Agency, Insurance Company, Dar es Salaam.
(1)

08/06/2026
Uwepo wako ni wathamani kubwa kwetu. Asante  kwa kuendelea kutuamini na kutuunga mkono,Wewe ni mtu muhimu sana kwetu.   ...
04/06/2026

Uwepo wako ni wathamani kubwa kwetu.
Asante kwa kuendelea kutuamini na kutuunga mkono,Wewe ni mtu muhimu sana kwetu.



Endelea kujipatia huduma zetu popote, wakati wowote.
____________
BIMA POPOTE
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

Kuwa na bima  wakati wote, unajihakikishia amani ya moyo na usalama wa kifedha.Usisubiri janga likutokee ndipo ukumbuke ...
03/06/2026

Kuwa na bima wakati wote, unajihakikishia amani ya moyo na usalama wa kifedha.

Usisubiri janga likutokee ndipo ukumbuke umuhimu wa bima,Chukua hatua leo na ujilinde na bima.


_____
BIMA POPOTE

Cheers to a new month and another chance to achieve our dreams,Let's make every moment count.                    May thi...
31/05/2026

Cheers to a new month and another chance to achieve our dreams,Let's make every moment count.








May this new month bring fresh beginnings and great success to all.

For any inquiries please contact us
☎️+255625604030
☎️+255652440776
BIMA POPOTE

We wish all Muslims a joyful and blessed Eid filled with happiness, peace, love, and abundant blessings. May Almighty Go...
27/05/2026

We wish all Muslims a joyful and blessed Eid filled with happiness, peace, love, and abundant blessings. May Almighty God accept your prayers and grant you good health, success, and prosperity in your lives. 🀍



πŸŒ™ EID AL ADHA MUBARAK πŸŒ™

Tunawatakia wadau  wote safari njema na salama mnapoelekea kuwaona Babu na Bibi pamoja na familia zenu kipindi hiki cha ...
25/05/2026

Tunawatakia wadau wote safari njema na salama mnapoelekea kuwaona Babu na Bibi pamoja na familia zenu kipindi hiki cha mandalizi ya Sikukuu ya Eid Al Adha.

Mungu awajalie ulinzi, furaha, afya njema, na amani katika safari.






Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kuwa sehemu ya familia yetu.🀝✨

EID MUBARAK IN ADVANCE πŸŒ™

BIMA POPOTE

Tunapoelekea mwisho wa mwezi wa tano, hakikisha upo salama na taarifa zako za bima ziko sahihi na hai.          Piga sim...
25/05/2026

Tunapoelekea mwisho wa mwezi wa tano, hakikisha upo salama na taarifa zako za bima ziko sahihi na hai.



Piga simu
+255652440776
BIMA POPOTE

Bado unahangaika kufuata huduma.!SASA KILA KITU KIPO MKONONI MWAKO.Nunua Bima & Dhamana papo hapo kupitia simu yako Hara...
04/05/2026

Bado unahangaika kufuata huduma.!
SASA KILA KITU KIPO MKONONI MWAKO.

Nunua Bima & Dhamana papo hapo kupitia simu yako

Haraka. Rahisi. Salama.
___________
πŸ”₯ Hakuna foleni
πŸ”₯ Hakuna usumbufu






______
Endelea kupata huduma zetu popote.

Tupigie
πŸ“±πŸ“±+255652440776
☎️☎️+225625604030
BIMA POPOTE
ZAIDI YA HUDUMA

Heri ya Siku ya Wafanyakazi wote Duniani Tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa kila mfanyakazi katika kujenga jamii ...
01/05/2026

Heri ya Siku ya Wafanyakazi wote Duniani

Tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa kila mfanyakazi katika kujenga jamii na taifa letu.
Juhudi zenu, uvumilivu na kujituma ndiyo nguvu ya maendeleo.

''Kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo Endelevu katika utekelezaji wa dira ya Taifa 2050''



HERI YA MEI MOSI.

BIMA POPOTE.
ZAIDI YA HUDUMA

01/05/2026

Ni jukumu la kila abiria au mtumiaji wa chombo cha moto kuhakiki bima kabla hajatumia /kuendesha.

Jiulize
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
🚘🚘🚘🚘🚘
Chombo cha moto anachotumia kimekatiwa bima.?

Hakiki taarifa husika kwenye simu yako kupitia mfumo wa TIRAMIS.
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡

https://tiramis.tira.go.tz/ #
__________
LINDA GARI /MALI ZAKO LEO
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Whatsapp chat

πŸ“±πŸ“±πŸ“±+255652440776

BIMA POPOTE

____________________
Kwahisani ya TIRA
TIRA kwa Soko Salama la Bimatz

Address

Dar Es Salaam
DARESSALAAM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pasky insurance Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share