LOLC Tanzania

LOLC Tanzania LOLC Tanzania Microfinance Bank
Personal Loans | Business Loans | Vehicle Loans | Savings | Fixed Deposits
Your trusted partner for financial growth.

Tujijenge Tanzania ilianzishwa na Tujijenge Afrika, ikiwa na maono ya kuwa kinara katika utoaji wa huduma za kifedha zinazojali, zinazozingatia wateja, na kwa maadili ya msingi ya uwazi, uadilifu, uendelevu, heshima, kazi ya pamoja na uwezeshaji. Tumejitolea kushawishi maisha ya wanachama wetu kwa njia chanya, kwa huduma za kifedha zinazolenga wateja ambazo zinawaathiri kibinafsi na pia biashara z

ao na jamii pana. Tunaamini kuwa hitaji la huduma ndogo za kifedha barani Afrika linaweza kufikiwa tu ikiwa ni endelevu kifedha. Ili kufanikisha hili, muundo wetu wa kumiliki hisa unajumuisha watu binafsi na wanahisa wa makampuni k**a vile Oikocredit na Progression Eastern Africa Microfinance Equity Fund. Tangu kuanza kazi Julai 2006, kwa sasa tunafanya kazi kupitia mtandao wa matawi matano, ambayo manne kati yake yapo Dar es Salaam (pamoja na makao makuu yetu), moja mkoani Mara. na moja Mwanza. Tujijenge Tanzania was set up by Tujijenge Afrika, with the vision of being a leader in the provision of caring, customer-focused financial services, and with the core values of transparency, integrity, sustainability, respect, teamwork, and empowerment. We are committed to positively influence the lives of our members, with customer-focused financial services that impact them individually as well as their enterprises and the wider community. We believe that the need for microfinance services in Africa can only be met if they are financially sustainable. To achieve this, our shareholding structure includes individuals and corporate shareholders such as Oikocredit and Progression Eastern Africa Microfinance Equity Fund. From beginning operations in July 2006, we are currently operating through a network of five branches, of which four are in Dar es Salaam (including our headquarters), one in Mara. and one in Mwanza.

17/08/2026

Heri ya Siku ya Kimataifa ya Vijana.

Leo, tunaadhimisha nguvu, ubunifu na uwezo wa vijana katika kuijenga kesho bora.

Kutoka kwetu sote LOLC Tanzania Microfinance Bank, tunawatakia kizazi kijacho cha viongozi, wajasiriamali, wabunifu na waleta mabadiliko ujasiri wa kuwa na ndoto kubwa, kutumia kila fursa na kujenga mustakabali wenye mafanikio zaidi.

Usiteseke na usafiri wakati unaweza kumiliki gari lako leo!Kwa Gari Loan kutoka LOLC Tanzania Microfinance Bank, safari ...
12/08/2026

Usiteseke na usafiri wakati unaweza kumiliki gari lako leo!

Kwa Gari Loan kutoka LOLC Tanzania Microfinance Bank, safari ya kuelekea kwenye gari lako inaanza sasa. Songa kwa urahisi, uhuru na uhakika zaidi.

📍 Tutembelee Derm Complex, Makumbusho
📞 +255 739 611 612

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.




05/08/2026

As a licensed microfinance bank, LOLC Tanzania will continue serving its existing customers without interruption while introducing an expanded range of products and services.

LOLC Tanzania Microfinance Bank tunakupa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji yako binafsi na ya biashara kuanzia Miko...
31/07/2026

LOLC Tanzania Microfinance Bank tunakupa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji yako binafsi na ya biashara kuanzia Mikopo ya Binafsi, Mikopo ya Biashara, Akiba hadi Amana za Muda Maalum.

Tembelea tawi letu Derm Complex, Makumbusho au wasiliana nasi leo.



Sasa tumefikia hatua mpya ya kukuhudumia kwa nguvu zaidi. Tunakuletea huduma bora za kifedha, suluhisho rahisi na fursa ...
29/07/2026

Sasa tumefikia hatua mpya ya kukuhudumia kwa nguvu zaidi.

Tunakuletea huduma bora za kifedha, suluhisho rahisi na fursa zaidi za kukusaidia kufikia malengo yako.

Kuanzia mikopo binafsi na ya biashara,akiba hadi huduma nyingine za kifedha tupo hapa kukusaidia kukua.

Tembelea tawi letu la Derm Complex, Makumbusho leo na ujionee huduma mpya za LOLC Tanzania Microfinance Bank.

Benki inayokua na wewe.

A new era begins.A historic moment as we officially launch LOLC Tanzania Microfinance Bank.Together with our Chairman, M...
27/07/2026

A new era begins.

A historic moment as we officially launch LOLC Tanzania Microfinance Bank.

Together with our Chairman, Management Team, staff, and distinguished guests, we celebrate this new chapter of growth, stronger financial solutions, and greater opportunities for the communities we serve.

As a bank, we are stronger, more capable, and committed to empowering individuals, families, and businesses to achieve their dreams.

Together, we grow. Together, we achieve more.

Wamiliki wa daladala na wafanyabiashara ya usafirishaji:-Unaweza kupata mkopo wa daladala au coaster kwa hadi asilimia 5...
24/02/2026

Wamiliki wa daladala na wafanyabiashara ya usafirishaji:-
Unaweza kupata mkopo wa daladala au coaster kwa hadi asilimia 50% ya thamani ya gari.
Tupigie sasa: 0677 045 056
*Vigezo na Masharti kuzingtiwa

Hamna haja ya kusubiri sana, unaweza kumiliki gari lako sasa.LOLC Tanzania tutakuwezesha mkopo wa hadi 65% ya thamani ya...
18/02/2026

Hamna haja ya kusubiri sana, unaweza kumiliki gari lako sasa.
LOLC Tanzania tutakuwezesha mkopo wa hadi 65% ya thamani ya gari ndani ya saa 72 tu.
Tupigie: 0677 045 056
*Vigezo na Masharti kuzingatiwa*

LOLC Tanzania Financial Services Ltd, kupitia kwa wakala wake Sepco Ltd watauza gari kwa njia ya mnada wa hadharaTarehe:...
16/02/2026

LOLC Tanzania Financial Services Ltd, kupitia kwa wakala wake Sepco Ltd watauza gari kwa njia ya mnada wa hadhara
Tarehe: 18/02/2026
Eneo: Tabata Kimanga
Kwa maelezo zaidi piga:
+255718068335 |+255715683 777
*Vigezo na Masharti kuzingatiwa

Address

Derm Complex, P. O. Box 22320, New Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOLC Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category