Uwekezaji360

Uwekezaji360 Jukwaa la elimu ya uwekezaji kwenye soko la hisa na mitaji. Dhumuni ni kuwapa wawekezaji uelewa wa k

26/05/2025
Usikose semina hii ya uwekezaji, inatolewa bure.
17/04/2025

Usikose semina hii ya uwekezaji, inatolewa bure.

CRDB Bank Plc: Tangazo la gawio kwa mwaka 2024
14/04/2025

CRDB Bank Plc: Tangazo la gawio kwa mwaka 2024

KUTOKA CRDB BANK: Hii si ya kukosa Swahiba katika uwekezaji na uchumi Jiunge nasi katika Mjadala wa Masoko ya Mitaji, Uw...
11/04/2025

KUTOKA CRDB BANK: Hii si ya kukosa Swahiba katika uwekezaji na uchumi Jiunge nasi katika Mjadala wa Masoko ya Mitaji, Uwekezaji na Uchumi leo Ijumaa, tarehe 11 Aprili 2025 kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Tutachambua kwa undani: 📊Utendaji wa Soko la Hisa (Januari – Machi 2025) 📊Hali ya Soko na Sera ya Fedha (Aprili – Juni 2025) Pata maarifa, taarifa na fursa zitakazokuwezesha kufanya maamuzi sahihi ya kifedha.Tutaambatana na wageni mbalimbali kutoka sekta ya fedha. Jiunge kupitia link ya tano kwenye Bio yetu.

Notice is hereby given that the twenty-ninth Annual General Meeting of Shareholders of Tanga Cement\nPublic Limited Comp...
09/04/2025

Notice is hereby given that the twenty-ninth Annual General Meeting of Shareholders of Tanga Cement\nPublic Limited Company will be held at the Marquee Hall, Dar es Salaam Serena Hotel and online through\nMicrosoft Teams platform using the internet link: https:\/\/escrowagm.com\/csdr\/Login.aspx on Monday, 28 April 2025 at 10:00a.m.

Mkutano Mkuu wa 60 wa wanahisa wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC Plc) kwa mwaka ulioishia Disemba 31, 2024, utafanyika ...
26/03/2025

Mkutano Mkuu wa 60 wa wanahisa wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC Plc) kwa mwaka ulioishia Disemba 31, 2024, utafanyika Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel, Dar es Salaam Tanzania siku ya Ijumaa Aprili 23, 2025

MUHIMU:
1. Mwanahisa anayetaka kuhudhuria mkutano atalazimika kujigharamia mwenyewe. Aidha, mwanahisa huyo lazima aje na nakala ya risiti yake ya amana au cheti cha kushiriki pamoja na kitambulisho chake.
2. Mwanahisa mwenye haki ya kuhudhuria katika mkutano na kupiga kura anaweza kuteua mwakilishi ambaye atahudhuria katika mkutano na kupiga kura kulingana na katiba ya kampuni.
3. Fomu ya mwakilishi lazima iwasilishwe katika ofisi za kampuni si zaidi ya Alhamisi, Aprili 22, 2025 saa 4 asubuhi.
4. Nakala za ripoti ya mwaka kwa mwaka ulioishia Disemba 31, 2024 zitatolewa kwenye ukumbi wa mkutano. Nakala tepe(Soft copy) zitapatikana kwenye tovuti ya kampuni
5. Taarifa zaidi kuhusiana na mkutano mkuu huu zinawezakupatikana kwenye tovuti ya TCC Plc. Taarifa zaidi zitatumwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu na barua pepe kwa wanahisa wanostahili.

Address

Kinondoni Road, 1st Floor/Togo Tower
Dar Es Salaam
0701072

Telephone

+255656536545

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwekezaji360 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uwekezaji360:

Share

Category