01/06/2026
Majanga k**a hayatabiriki, Kata Bima ya Moto hata k**a Jengo sio lako unaweza katia vitu vyako vya ndani! Ikitokea Moto k**a hivi Jengo limeungua VITU vyako vilivyo ndani vimeungua BIMA yako itakusaidia kuweza kulipwa. Wasiliana na sisi kwa HUDUMA na USHAURI wa BIMA. Karibu tukuhudumie