Wealthora Company Limited

Wealthora Company Limited We are a financial advisory company - licensed by the CMSA Tanzania, to provide investment management services

Usikose Ijumaa ijayo (4 - July 2025), kutakuwa na free webinar kwaajili ya vikundi. MADA* Uwekezaji katika masoko ya his...
03/07/2025

Usikose Ijumaa ijayo (4 - July 2025), kutakuwa na free webinar kwaajili ya vikundi.
MADA
* Uwekezaji katika masoko ya hisa
* Huduma za kutunza mali na uwekezaji wa vikundi

WATOA MADA
- Mecklaud Edson, Chief Internal Auditor - Dar es Salaam Stock Exchange
- Andrew Mgunda, Head Investor Services - Stanbic Bank Tanzania
- Aleck Ngoshani, Managing Director - Wealthora Company Limited

14/05/2025
03/05/2025

Tarehe 2 Mei 2025, Twiga Cement (TPCC) ilitangaza gawio la TZS 600 kwa hisa, ongezeko la 53.85% kutoka mwaka uliopita. πŸ’°πŸ“ˆ

πŸ“ˆ Hisa za TPCC zilipanda kwa 10.8% wiki hiyo, zikionyesha imani kubwa ya wawekezaji.

πŸ“Š Gawio hili linawakilisha dividend yield ya 13.33%

TAREHE MUHIMU:-
πŸ“Œ Tarehe ya mwisho kupata gawio (cum-dividend): 21 Mei 2025
πŸ’Έ Malipo yanatarajiwa kufanyika kabla ya: 30 Juni 2025

πŸ“² Unataka takwimu zaidi za soko?
Pitia ripoti zetu za kila wiki na mwezi kwenye kwa taarifa za:

βœ… Faida na gawio la makampuni yote yaliyoorodheshwa ( )
βœ… Mavuno ya , & ( )
βœ… Utendaji wa ( ) yote ya tanzania - 15

01/05/2025

UCHAMBUZI WA SOKO LA HISA WA KILA MWEZI – SASA UNAPATIKANA KWENYE MALENGOAPP! πŸ“ˆ

Tunayofuraha kutangaza kuwa sasa unaweza kufuatilia uchambuzi wa soko la hisa wa kila Mwezi kupitia β€” jukwaa maalum kwa ajili ya ( ) - vikundi k**a vile Vilabu vya Uwekezaji ( ) and Familia Zinazowekeza Pamoja ( ).

Kila mwezi tunakuletea: -
βœ… Utendaji wa makampuni yaliyoorodheshwa kwenye soko la hisa
βœ… Habari za soko la hati fungani za serikali na za kampuni
βœ… Matokeo ya kifedha na taarifa za mapato
βœ… Taarifa za mgao wa faida na hatua za makampuni
βœ… Mambo muhimu kutoka mikutano mikuu ya mwaka ya makampuni (AGMs)
βœ… Utoaji mpya wa hati fungani na habari kuu za masoko ya mitaji

Pakua MalengoApp leo – Pata taarifa zote ukiwa popote, muda wowote!

Huduma ya : Mshirika wako wa kuaminika katika kufanikisha malengo ya kifedha.

27/04/2025

Kwanini utumie / kufanya uwekezaji na kutekeleza malengo yako.

Huduma ya kupitia inasaidia wanachama ya vikundi kutimiza malengo yao.

24/04/2025

/ ninini?

Huduma yetu ya kutoka kampuni ya inahudumia vikundi vya uwekezaji

Karibu tukuhudumie

Wasiliana nasi kupitia:-
πŸ“± +255793 444 432 | βœ‰ [email protected]
πŸ“ CM Building, Block 41, Morocco Area, Kawawa Road, Kinondoni, Dar es Salaam

13m

18/04/2025

17/04/2025

UCHAMBUZI WA SOKO LA HISA WA KILA WIKI – SASA UNAPATIKANA KWENYE MALENGOAPP! πŸ“ˆ

Tunayofuraha kutangaza kuwa sasa unaweza kufuatilia uchambuzi wa soko la hisa wa kila wiki kupitia β€” jukwaa maalum kwa ajili ya ( ) - vikundi k**a vile Vilabu vya Uwekezaji ( ) and Familia Zinazowekeza Pamoja ( ).

Kila wiki tunakuletea: -
βœ… Utendaji wa makampuni yaliyoorodheshwa kwenye soko la hisa
βœ… Habari za soko la hati fungani za serikali na za kampuni
βœ… Matokeo ya kifedha na taarifa za mapato
βœ… Taarifa za mgao wa faida na hatua za makampuni
βœ… Mambo muhimu kutoka mikutano mikuu ya mwaka ya makampuni (AGMs)
βœ… Utoaji mpya wa hati fungani na habari kuu za masoko ya mitaji

Pakua MalengoApp leo – Pata taarifa zote ukiwa popote, muda wowote!

Huduma ya : Mshirika wako wa kuaminika katika kufanikisha malengo ya kifedha.

Address

Plot No. 11, Tunisia Road, ADA Estate, Kinondoni. (Opposite Leaders)
Dar Es Salaam
105185

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wealthora Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wealthora Company Limited:

Shortcuts

Share