Softcare Tanzania Co Ltd

Softcare Tanzania Co Ltd Manufacturer and Supplier of;
Softcare Sanitary pads
Softcare Baby Pants
Softcare Baby Diapers
Softcare Baby Wipes

07/09/2026

Kutoka Mbezi Magufuli hadi Ubungo, ilikua safari ya kusisimua iliyomuhusisha Anita Mama wa mapacha wa nne pamoja na watoto wake mapacha wanne, dada yao pamoja na kaka yao mdogo. Anita alifurahi kusikia kuwa Softcare Tanzania itashirikiana nae bega kwa bega kwenye suala zima la daipa za watoto wake wanne pamoja na wipes za kuwasafishia hadi pale watakapoacha kutumia daipa.

Imetengenezwa kwa pmba laini inayofyonza kwa haraka na kukuacha mkavu muda wote na kufanya ukiwa comfortable.Zinapatikan...
24/08/2026

Imetengenezwa kwa pmba laini inayofyonza kwa haraka na kukuacha mkavu muda wote na kufanya ukiwa comfortable.

Zinapatikana madukani, supermarkets na Mimi market, maduka ya dawa nchi nzima

Soft care - More care, more love

Furaha ya mtoto inatoka pale anapoweza kulala vizuri na kuamka akiwa na nguvu na softcare ipo kuhakikisha mtoto analala ...
19/08/2026

Furaha ya mtoto inatoka pale anapoweza kulala vizuri na kuamka akiwa na nguvu na softcare ipo kuhakikisha mtoto analala usingizi mzuri huku akiwa mkavu.

Marafiki hupeana michongo na mipasho, msanue rafiki akirnda dukani achague softcare😁😉
13/08/2026

Marafiki hupeana michongo na mipasho, msanue rafiki akirnda dukani achague softcare😁😉

Mtoto mchangamfu ni yule anaye kuwa huru muda wote, wakati wa kucheza, kulala au akiwa katika shughuli zake za kila siku...
03/08/2026

Mtoto mchangamfu ni yule anaye kuwa huru muda wote, wakati wa kucheza, kulala au akiwa katika shughuli zake za kila siku na uhuru huo unaletwa na bidhaa bora na sahihi

Chagua softcare, kwa uhuru wa mtoto wako

31/07/2026
30/07/2026

Softcare pads ni rafiki wa kila binti katika rika zote

Zinapatikana madukani kote kwa jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0622036890

Mapema leo tulifanikiwa kufika katika hospitali ya Sinza palestina kwa ajili ya kutoa elimu juu ya matumizi ya vifaa vya...
27/07/2026

Mapema leo tulifanikiwa kufika katika hospitali ya Sinza palestina kwa ajili ya kutoa elimu juu ya matumizi ya vifaa vya usafi ikiwa ni pamoja na matumizi ya daipa pamoja na waips katika hospitali iyo

Sambamba na hilo tumeweza kuwafikia wamama 30 kwa kuwapatia daipa ikiwa ni muendelezo wa kaulimbiu yetu ya kurudisha kwa jamii,

Softcare daipa bora na rafiki kwa mtoto wako

23/07/2026

Daipa sahihi ndio itakayompa mtoto wako usingizi mwanana bila kuhisi unyevu, kuwashwa au kuungua, na chaguo ni softcare🥳🥳🥳

Zinapatikana kwa jumla na rejareja kwa wauzaji na wasambazaji wote Tanzania, kwa maelezo zaidi tupigie kwa namba 0622036890

Dakika 90 za mchezo pamoja na nyongeza zote tumechukua ushindi🥳🥳🥳Diaper zenye ubora wa kimataifa ndio chaguo bora kwa mw...
20/07/2026

Dakika 90 za mchezo pamoja na nyongeza zote tumechukua ushindi🥳🥳🥳

Diaper zenye ubora wa kimataifa ndio chaguo bora kwa mwanao, chagua softcare, chagua ubora🥳🥳🥳

Zinapatikana kwa jumla na rejareja kwa wauzaji na wasambazaji wote Tanzania, kwa maelezo zaidi tupigie kwa namba 0622036890

Address

P. O Box 61724
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255746214885

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Softcare Tanzania Co Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Softcare Tanzania Co Ltd:

Shortcuts

Share