Tanzania fursa yako

Tanzania fursa  yako Page mahsusi kwa ajili ya kuelimishana na kuelezea fursa mbalimbali zilizopo katika jamii yetu . wewe ni mjasiriamali ?, unataka kuwa mjasiriamali .

wewe ni mhitimu usie na ajira ? Hakikisha unalike page usipitwe na makala mbali mbali zitakazotolewa

NILIMDHANIA KAHANA KUMBE BIKRA MTUNZI: SINGANO JR SEASON 14WhatsApp: 0687151346.SEHEMU YA 391.Baada ya  Jeremy kutoka  K...
09/10/2024

NILIMDHANIA KAHANA KUMBE BIKRA
MTUNZI: SINGANO JR
SEASON 14
WhatsApp: 0687151346.

SEHEMU YA 391.

Baada ya Jeremy kutoka Kizwe alijikuta akilia kilio kisichokuwa cha kawaida , alikuwa akijitahidi tu kuwa jasiri mbele ya Raisi Jeremy lakini ukweli alikuwa akiogopa sana , hakuamini ndio hivyo anakwenda kufa , tena mtu ambaye anakwenda kumuua ni mume wake ambaye ameoana nae kwa miaka mingi.
“Kumbe mwenzangu ulikuwa mke wa raisi , ukashindwa kunipasha habari?”Aliongea Lekcha bila wasiwasi.
“Haijalishi kuwa mke wa raisi kwasasa kwani haina maana , mimi ni mwanamke ambaye nina laana ndio maana mume wangu mwenyewe ananiua”Aliongea huku akiwa ni mwenye huzuni.
“Kuna kitu nimeona katika maongezi yako, kauli yako ya mwisho inaonyesha haikuwa na ukweli wowote , si kweli ?”
“Unamaanisha nini?”
“Namaanisha kauli yako ya kumuua sijui nani , haina ukweli wowote na umeongea ili kumpandisha jazba”
“Umejuaje?”
“Kwa muonekano wako , unaweza kuwa mkatili lakini naamini pia ulikuwa ukiheshimu cheo chako , siamini k**a wewe mwenyewe ndio ulitekeleza kifo cha huyo mwanamke , kuna uwezekano aliefanya hivyo ni mtu mwingine”Aliongea Lekcha na kumfanya Kizwe kupata nuru kidogo ya furaha.
“Inakuwaje mtu k**a wewe ukanielewa sana kuliko hata mume wangu , ni kweli sijamuua , ijapokuwa nilikuwa na chuki sana zidi yake , lakini kuna watu pia waliokuwa wakimchukia kuliko mimi, nilichokifanya nikuongezea kachumbari tu, mtu k**a wewe unaeonekana kunijali na kunielewa tunakutana nikiwa kwenye hatua za mwisho za kifo changu”
“Hehe haina haja tena ya kulalamika na kutoa hayo machozi , wote tunakwenda kufa .. ila sio mbaya ni kheri nakufa sasa nikiwa na mke wa raisi kuliko ningefia kule majalalani”Aliongea huku akiwa haeleweki ni hisia gani alizokuwa nazo kwenye moyo wake.
“Kuna namna ya wewe kuishi , nishaifikiria tokea tunaletwa hapa..”Aliongea Kizwe na kumshangaza Lekcha.
“Unasemaje , usiniambie k**a kuna namna ya kumfanya mheshimiwa kubadili mawazo na kutuacha hai wote”
“Simaanishi mimi, namaanisha kuna namna ya wewe kuishi hawezi kuniacha hai kwani ananiona k**a adui kwenye uongozi wake , kwa upande wako wewe huna thamani kwake akuue au asikuue ila k**a utakuwa na kitu cha kumbadili mawazo atakuacha hai”
“Kwahio ni kipi naweza kufanya ili kumpa sababu ya kuniacha hai?”Aliuliza na Kizwe alimpa ishara ya kumsogelea na kisha akamnong’oneza.
“Una uhakika na jambo hilo , hiki kitu ni hatari k**a kitafahamika?”
“Ndio, unachotakiwa ni kuongea k**a nilivyokueleza na atakuamini , kadri utakavyokuwa msiri atakuwa hana sababu ya kukuua na atakuacha hai na huenda akakupa ulinzi pia”
“Kwanini unaniambia haya mimi , ungemwambia wewe huenda angekuacha hai?”
“Hawezi kuniacha hai hata nikimuambia , nilijua muda mrefu tokea tunak**atwa kule Tanzania na kutuleta kwa ndege ya jeshi , siku zote alikuwa akitafuta namna ya kuachana na mimi na amepata nafasi hivyo haawezi kuipoteza”
“Lakini utakuwa na sababu ya kuniambia hivi pia ili kuniokoa na kifo?”Aliuliza Lekcha akiwa kwenye kuchanganyikiwa.
“Ndio sitaki kukulipa mabaya kwa yale ulionitendea , kwenye Maisha yangu niliishi Maisha ambayo sikuwahi kukosa pesa , lakini kitu kikubwa nilichokosa ni mapenzi ya dhati , siku mbili tulizokuwa pamoja nimeguswa sana na uwepo wako kwenye maisha yangu , Nakufa kabla ya kujua historia ya Maisha yako , lakini k**a utaishi naomba uniahidi kitu kimoja”
“Nipo tayari kukuahidi chochote?”Aliongea na kumfanya Kizwe atoe tabasamu la uchungu.
“Hakikisha unaishi Maisha yenye sababu kubwa , naamini kwa umri wako bado una nafasi ya kufanya makubwa , lakini jambo lingine nataka kukuona ukitimiza kitu ambacho ulisema ni tofauti na pesa”Aliongea na Lekcha kwa huzuni sana alitingisha kichwa chake kukubaliana nae.
Muda huo huo mlango wa chumba chao ulifunguliwa na watu wawili waliovalia makoti ya kimaabara wakiwa na vijitray vilivyojaa mabomba yenye vimiminika ndani yake kwa ajili ya kufanya kazi yao.
“Mwambieni mheshimiwa , huyu bwana hapa anasiri anataka kumweleza, toeni msisitizo kwamba siri hio itamfanya kumuacha hai na mtu atakaekufa siku ya leo atakuwa ni mimi pekee”Aliongea Kizwe na kisha alisimama haraka na kuchukua bomba lenye kimiminika na kisha akajichoma mwenyewe kwenye shingo akilenga mshipa mkubwa wa damu ,hata wale wataalamu wa maabara walishangazwa na kitendo chake , lakini walijikuta wakisimama wakimwangalia Kizwe akitapatapa na ndani ya dakika tano tu alikata moto na kunyoosha miguu huku macho akimkodolea Lekcha,
Lekcha alitolewa kwenye chumba mara baada ya taarifa kutolewa kwamba alikuwa na siri ya kumuelezea raisi Jeremy, baada ya kuburuzwa na mabodigadi alijikuta akigeuka nyuma na kumwangalia Kizwe aliekuwa chini hana uhai alijikuta moyo ukimuuma sana kwa mara ya kwanza kwenye Maisha yake , hakuamini k**a kweli mwanamke huyo aliemuokoa kule jijini Dar Es salaam ndio huyo amekufa kifo cha aina hio , alijihisi mkosaji na kujiambia huenda angemuacha tu ajiue kule kule kuliko kuuliwa na mume wake.
Dakika chache mbele Lekcha alipelekwa mpaka ofisini kwa Raisi Jeremhy na kishwa kutupwa chini na mabodigadi.
*******
Taarrifa iliotolewa na Makedoni ilimchanganya sana Roma na kujiuliza ni mtu gani anajaribu kumchokoza.
“Mfalle Pluto huna haja ya kunificha , tumekuwa marafiki kwa muda mrefu, niambie k**a kweli umehusika?”Aliongea Makedoni.
“Nieleze kwa kina nini kimetokea sijui chochote”
“Kwahio unasema sio wewe?”
“Sio mimi kwenye nini Makedoni hebu acha kuwa mwanasiasa”Aliongea Roma
“Mfalme hili swala mbona k**a ni la ajabu, nusu saa iliopita meli ya Marekani iliokuwa ikirudi kutoka kusini mwa bahari ya China imeharibiwa , ni kati ya meli zilizokuwa na mzozo na taifa la uchina katika mgogoro unaoendelea na Taiwan , sasa kubwa yake yenye uwezo wa kubeba ndege za kivita za Nimtz na wanajeshi elfu moja wanamaji ndio ilioharibiwa na mtu ambaye unafanana nae kwa asiliamia mia moja”Aliongea Makedoni.
“Mbaya Zaidi mfalme Pluto ni kwamba meli hio pamoja na wanajeshi na baadhi ya ndege zilizokuwemo vimeharibiwa ndani ya dakika moja tu na kuzama ndani ya bahari”Aliongea Makedoni..Roma alishanga
“Makedoni unamaanisha kwamba mtu aliehusika ana uwezo k**a wangu ?”
“Ndio mfalme Pluto ,ijapokuwa ni mara chache sana nimeshuhuduia ukitumia uwezo wako wote , lakini mtu aliefanya hivyo naweza kusema kwamba anakukaribia na amefanya k**a ilivyokuwa kawaida yako na tukikadiria , inaonekana ni k**a unapofikia hatua ya macho yako kuwa mekundu”Aliongea Makedoni
“Hebu subiri , si umesema unayo Vidio?”
“Vidio tunayo , meli hio imerekodi tukio kwa dakika kadhaa na nimeweza kuiiba kutoka shirika la kijasusi la Marekani na kuangalia ndio maana nikakupigia”
“Nitumie hio video niangalie mwenyewe”Aliongea Roma na Mekedoni alikata simu na kisha akamtumia wakati huo huo video hio.
Roma aliweza kuangalia kila kitu kupitia tarakishi yake , ni kweli kabisa kilionekana kivuli ambacho kinafanana kabisa k**a yeye , tena kikishuka kutoka angani na kilivyoshuka karibu na meli ile alifanya makusudi ya kuangalia Kamera na palepale ulitokea mlipuko mkubwa k**a wa bomu ambao hata Kamera zilishindwa kuonyesha kilichoendelea, lakini kitu kikubwa ambacho Kamera hizo zilifanikuwa kurekodi sura yake halisi, kilichomtofautisha ni mavazi tu basi.
Baada ya kumaliza tu kuangalia palepale simu yake tena iliunganishwa na ya Makedoni.
“Your majest Pluto that wasn’t you?”
“Mfalme sio wewe si ndio?”
“No”
“Then”(Kwahio)
“That was spacetime manipulation but that man is definitely not me I can’t explain why he look like me though”Aliongea Roma
“Hio ni mbinu ya umanipulishaji wa muda wa Anga , lakini huyo mtu hakika sio mimi siwezi kuelezea kwanini anafanana na mimi lakini”Alijitetea Roma .
“Inaweza kuwa ‘Clone’ lakini hilo haliwezekani, k**a kweli ni Clone inawezekana vipi mtu kuiba DNA zako bila ya wewe mwenyewe kufahamu? Lakini hata k**a iwe ni Clone haileti maana kuweza kuwa na uwezo wa kucheza na Muda wa anga”
“Hakuna mtu anaeweza kunifanyia Clone kwasababu mwili wangu tayari ulishamulikwa na Devine light, hata mimi mwenyewe nishawahi kujiuliza k**a mtu anaweza kuiba damu yangu na kutengeneza siraha ya kibailoia , lakini tafiti zilizofanywa zilibainisha hilo haliwezi kufanikiwa, kwasababu lazima waweze kupata damu yangu ikiwa ya moto kabisa na isigusane na hewa, lakini pia inawezekanaje mtu kuiba damu yangu nisijue?”
“Kweli kabisa mtu kuiba damu yako na wewe mwenyewe usifahamu , nadhani ni jambo ambalo haliwezekani kabisa”Alijibu Makedoni upande wa pili.
“Hilo sio muhimu kwa sasa k**a wataweza kutengeneza kopi ya mwili wangu haitakuwa na uwezo wa kuwa na nguvu za kuchezea kanuni za anga na kuwa tishio , kwa jinsi ninavyomuona kwenye hii Video anaonekana kuwa na uwezo wake binafsi”Aliongea Roma
“Mfalme Pluto lazima tufanye jambo , ni kweli kabisa mtu hiyo ana nguvu k**a za kwako lakini jambo kubwa ni kwamba haheshimu kabisa The Gods Treaty , ameharibu meli yote ya kivita lakini pia anafanana na wewe , k**a serikali ya kimarekani hawataweza kumtambua inamaanisha kwamba…”
“Makosa yake yote yatasukumiwa kwangu, kwasababu sitakuwa na ushahidi wa kutosha wa kujitetea , lakini pia huyu mtu sijui ni nani na kwanini kafanya hivyo”
“Ni kweli mfalme Pluto , serikali ya Marekani imeomba pia idara yetu kufanya uchunguzi , ni wenye hasira kwasasa kwani wanaamini umeanza kuvunja sheri za kimkataba ndani ya The Gods Treaty na kuegamia upande wa China, siku mbili zilizopita serikali ya Marekani na serikali ya kichina iliingia kwenye makubaliano ambayo Marekani ilibidi kuondoa meli na wanajeshi wake wote waliokaribu na mipaka ya China kutokana na mzozo unaondelea kati ya Taiwani na China , jambo ambalo Marekani ilitekeleza mara moja na meli ilioharibika ilikuwa kwenye safari ya kurudi Marekani na Zaidi ya wanajeshi wao elfu moja makomandoo wamekufa, Mpaka sasa wanaamini moja kwa mja unatumia uwezo wako kuiinua China kijeshi”
“Achana na maswala ya siasa Makedoni , kwasasa mtu huyu kavunja sheria za Gods Treaty mchana kweupe , ni lazima miungu mingine itachukua hatua zidi yangu , Makedoni nadhani mlifanye swala hili siri kwanza maana ninaweza kushambuliwa muda wowote , mbaya Zaidi ametumia mbunu zangu zote zilizo zoeleka hivyo hakuna namna ya kujitetea”
“Mfalme Pluto unamaanisha serikali ya kimarekani inao uwezo wa kuamrisha miungu mingine kukushambulia , je wanaifahamu?”
“Haina haja ya kuwaomba , unajua Christen yupo Marekani na wote wanazo koneksheni za kujua ni nini kinaendelea kwenye dunia , ni Dhahiri mpaka sasa watakuwa na taarifa”
“Sawa nitajaribu kuangalia namna ya kuituliza hali”
“Utakuwa umenisaidia , hili ni swala kubwa mno na mimi mwenyewe nitalifanyia kazi , nitaondoka Tanzania kuelekea bahari ya kusini sasa hivi” Aliongea Roma na palepale simu yake ilikatika ,hakuwa hat ana haja ya kuaga kwani alipotea mara moja.
Unachotakiwa kutambua likija swala la ‘Space Time Manipulation’ kuharibu kitu cha Zaidi ya tani elfu moja ni k**a kukata kijiti tu na hicho ndio kilichofanyika kwa Meli ya kivita ya Kimarekani , mtu alieonekana akifanana na Hades alikuwa na ‘Spatial Powers’ ambazo anaweza kuchezea kanuni za anga kwa kutumia ‘Gravity’na kufanya anachotaka.
‘Quantam Mechanic’ na ‘General relativity’ inaelezea kwamba anga na muda ni vitu ambavyo havitofautiani katika utendaji wao na k**a vitakusanywa pamoja ndio hutengeneza Muda wa anga, kwahio Eistein mwenyewe anahusisha maswala yote ya kani mvutano na mengineyo ya kifizikia yanabebwa ndani ya Space na muda, Taasisi ya utafiti wa mambo ya anga ya Kimarekani ya NASA kwa kutumia kifaa chao cha NASAs Gravity Probe B waliweza kuthibitisha nadharia ya Eistein kwamba ni kweli anga na muda ni vitu vilivyoungana na vipo vinafanya kazi.
ITAENDELEA

NISAPOTI KWA KUSHARE ILI PAGE IKUE NA SIMULIZI ZIWE NYINGI

SIMULIZI YA KIJASUSI ,MAPENZI  NA VIUMBE WASIOONEKANA.UTANGULIZI KWA.WALE AMBAO HAWAJASOMA SIMULIZI: NILIEMDHANIA KAHABA...
06/02/2024

SIMULIZI YA KIJASUSI ,MAPENZI NA VIUMBE WASIOONEKANA.

UTANGULIZI KWA.WALE AMBAO HAWAJASOMA

SIMULIZI: NILIEMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA

WATSAPP: 0687151346

Mwaka 1998, Denisi akiwa na miaka mitano anagundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya ubongo ambayo inashindwa kutibika na kumfanya kuwa na miezi kadhaa tu ya kuishi kabla ya siku yake ya mwisho ya uhai , wazazi wake ambao walikuwa wakimpenda sana mtoto wao hawakukata tamaa na kuhangaika katika kila taifa ambalo kulikuwa na tumaini kwa ajili ya kumfanya Denisi kupona.

Raheli mama yake Denisi akiwa na mtoto wake wanafika nchini Malaysia katika jiji la Kual Lampur kwa ajili ya matibabu lakini kwa bahati mbaya suluhisho la tiba linakosekana kwa mtoto Denisi na wanaandaa safari ya kuelekea nchini China.

Wakati wa Raheli akiwa uwanja wa ndege kuelekea nchini China anashindwa kusafiri kwasababu ya dharula, lakini kutokana na muda wa matibabu kuwa mdogo anamtanguliza Denisi kuelekea China akiwa na mlezi wake huku yeye akiahidi kufika siku inayofuata.
Yakiwa ni masaa machache tu baada ya Denisi kupanda ndege ya shirika la M- Airline kuelekea China taarifa za kush*tusha za kupotea kwa ndege hio zinaripotiwa katika vyombo vya habari , Raheli anapatwa na msh*tuko na kujikuta akithibitisha kile ambacho kinaendelea na inaonekana ndege ambayo Denisi amepanda ndio iliopotea, inakuwa ni majonzi kwa watu wengi ambao ndugu zao walikuwa ndani ya ndege hio , serikali kubwa duniani zinaingia katika utafutaji lakini mwisho wa siku majibu yanakuwa sio ya kuridhisha.

Senga baba yake Denisi anazipata taarifa za kupotea kwa ndege hio ambayo mke wake na mtoto wake ndio wamepanda , anapatwa na msh*tuko mkubwa na majonzi kwa kupotelewa na wapendwa wake , lakini kitu asichokuwa akikifahamu ni mke wake kuwa hai kwani hakuwa amepanda ndege k**a alivyokuwa akifahamu na anaishi akijua famiia yake yote imefariki kwa zaidi ya miaka ishirini mpaka anakuja kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio anakuja kugundua mke yu hai tena akiwa mke wa Raisi wa Kenya Mheshimiwa Kamau Kamau,anakuja kugundua mpango wa siri ambao uliratibiwa na mataifa makubwa , mpango ambao umepewa jina la LADO , mbaya Zaidi Raisi Senga anakuja kugundua moja ya watu waliohusika katika mpango huo ni Baba yake Mzazi, Brigedia Jenerali Cammillius Kweka, mpango ambao unamuunganiko na Raheli mke wake kuwa hai.

******
Roma mbeba Mizigo mgeni katika Soko la Mbagala rangi tatu,anamdhania Edna k**a mwanamke Kahaba baada ya mwanadada huyo mrembo kumkuta Bar sehemu ambayo wanawake wanajiuza akiwa hajitambui , Roma bila ya kujali anambeba Edna asiejitambua na kwenda nae geto kwake na kisha anakidhi haja zake kwa kufanya nae mapenzi.
Edna kwa mara yake ya kwanza analala na Roma pasipo ya kujitambua na kupoteza usichana wake , baada ya tukio hilo anafanya maamuzi magumu ya kuolewa na Roma kwa mkataba wa miezi sita ili kuepuka kuolewa na mwanaume aliliechaguliwa na baba yake ilihali hampendi.

Roma anakubali kufunga ndoa na Edna kutokana na mwanamke huyo kufanana sana na mpenzi wake aliefariki , baada ya ndoa ya mkataba anakuja kugundua mrembo Edna ni moja ya wanawake matajiri wakubwa ndani ya Tanzania na bara lote la Afrika.
Edna anamuona Roma k**a mwanaume asiekuwa siriasi na maisha kwani mara baada ya kufunga nae ndoa ya mkataba anaanza kula bata huku akiwa na wanawake wengi jambo ambalo linamkasirisha Edna kwa kuhofia hadhi yake kushuka k**a ikigundulika Roma ni mume wake.

Lakini licha ya hivyo Edna anajawa na shauku kiasi cha kumfanya kuwa na ukaribu na Roma ili kujua sababu ya mume wake huyo macho yake kuwaka taa kila anapopandwa na hasira kali , huku roho ya ukatili ikimvaa.

Idara na mamlaka za ki usalama nchini zinashangazwa na uwezo wa Roma wa kuzungumza lugha zaidi ya ishirini na mbili na wanaanza kutafuta taarifa zinazomhusu Roma lakini licha ya kupata taarifa inayoonyesha Roma kusomea katika chuo kikubwa duniani kutoka nchi ya Marekani , Chuo cha Harvard wanapata ugumu wa kupata taarifa za Roma zaidi , huku ikionyesha Serikali ya Marekani kupitia kitengo chake cha ujasusi kushikilia taarifa hizo, Maswali mengi yanaibuka juu ya Roma ni nani , kwanini licha ya kuwa na elimu kubwa kuamua kufanya kazi ya kubeba mizigo na hatimae majibu yanapatikana na kugundulika Roma ana nguvu za kijini , Roma ni mfalme…

Upande wa Roma licha ya mke wake wa mkataba kukataa kumpa penzi anaendelea kumjali kwa kumlinda zidi ya maadui zake wa kibiashara na msukumo wa yote hayo ni kutokana na Edna kufanana na mpenzi wake wa zamani.
Unadhani Roma ni nani , Denisi alikufa ?? , Mpango LADO .

SIMULIZI HII IPO YOTE KWA ATAKAEHITAJI KUSOMA , INA VIPANDE 800 NI NZURI SANA NA HAICHOSHI
INAPATIKANA PIA KIDOGO KIDOGO KWA WALE WANAOHITAJI
NITAFUTE WATSAPP 0687151346 NIKUPE UTARATIBU

NILIMDHANIA KAHABA MTUNZI :SINGANO JRIli kupata muendelezo wasiliana  nami kupitia whatsapp0754806945WENYE simu ndogo ha...
13/03/2023

NILIMDHANIA KAHABA
MTUNZI :SINGANO JR
Ili kupata muendelezo wasiliana nami kupitia whatsapp0754806945
WENYE simu ndogo hatujawaacha 0694950264
SEHEMU YA PILI
Rose ni mwanadada ambae alikuwa ni bosi na mmiliki wa baa hiii kubwa iliokuwa ikifahamika kwa jina la Club B. Alikuwa ni mwanadada maarufu kwa eneo hili na hii yote ni kutokana na umiliki wake wa hii Bar ambayo ilikuwa kubwa mno, lakini jambo lingine ambalo lilimfanya mwanadada huyu kupata umaarufu ni kutokana na uzuri wake ambao Mungu alikuwa amembariki.
Sifa kubwa ambayo wanaume walevi na wale wapenda starehe ambao walikuwa wakimjua , sifa yake ilikuwa ni ugumu , mwanamke huyu alikuwa akiaminika sana kwa kutojirahisisha kwa wanaume , na ni Zaidi ya miezi kumi sasa tokea Club hio ifunguliwe na mwanadada huyu , hakuna mwanaume ambaye ashawahi kuhisiwa kutoka kimapenzi na mrembo huyu mfanyabiashara.
Lakini kwa upande wa Rose sababu kubwa ya kutojirahisisha kimapenzi ni kutokana na kuwa na mtu ambaye alikuwa akimpenda sana na huyu hakuwa mwingine bali alikuwa ni Roma ,haikueleweka mara moja ni lini mwanadada huyu alianza kumpenda Roma kwani ujio wa Roma ndani ya jiji hili ulikuwa ni wa miezi sita tu , lakini kwa wawili hawa walionekana kufahamiana sana.
“Rose nimeitikia wito wako , naomba nikusilize na kisha niondoke”Aliongea Roma mara baada ya kujinasua kwenye mikono ya mrembo huyu, ambaye k**a wewe ni mwanaume ambaye ungekuwa upo katika nafasi ya Roma ni hakika kwamba usingeshindwa kuukwepa mtego wa mwanamke huyu , lakini kwa kijana huyu Roma alionekana kushinda swala hilo.
“Jamani Roma , kwanini kila siku ni wakunifanyia hivi, wewe ni mwanume Roma mpaka sasa ushajua kwanini nimekuita , acha kunifanyia hivyo bhana”Aliongea Rose kwa sura ya kutia huruma huku machoni mwake kukionekana hali ya mtu anaetaka kulia , lakini kwa upande wa Roma alionekana sio mwenye kujali maneno ya mrembo huyo.
“Rose nishakuambia kila siku kuwa sipo tayari kufanya jambo unalotaka tufanye kwa sasa , naomba unielewe na naondoka k**a hili ndio jambo uliloniitia”Aliongea Roma huku akigeuka kutaka kuondoka , lakini kabla hajashika kitasa cha mlango Rose alimkimbilia na kumkimbilia kwa nyuma na mikono yake kutua kwenye kifua cha Roma.
“Nitakusubiri mpaka lini Roma , nipo kwenye hali mbaya nakuhitaji sana Roma kwa wakati huu hata kwa nusu saa tu mpenzi.. nakupenda sana Roma”.
Roma alifumba macho huku akivuta pumzi nyingi , hisia za kimapenzi zilikuwa nyingi kwake , lakini alionekana hakuwa tayari kufanya kitu na Rose , na kwa kutumia nguvu kubwa ya kihisia alishika mikono ya Rose na kisha alijinasua kwake na bila ya kuongea neno lolote alitoka nje huku akimuacha Rose akiwa ni k**a mtu ambaye hakuwa akiamini kile ambacho kimetokea , hakuwa akiamini kwamba kwa uzuri wake aliokuwa nao ameshindwa kumpagawisha mwanaume k**a Roma , alijishangaa , kwani alichokuwa aakiamini alikuwa ni mwanamke mzuri sana ambaye kwa mwanaume yoyote yule ambaye angemtaka asingemkataa , lakini kwa Zaidi ya mara tano anakataliwa na Roma , hili kwake lilimshangaza sana , lakini pia lilimfikirisha na kuona huenda Roma ana matatizo.
Upande wa Roma alionekana k**a ni mtu ambae alikuwa amechanganyikiwa, kwani hata kule bar alikowaacha wenzake hakurudi tena bali alitembea kwa miguu pembezoni mwa barabara , huku akionekana ni mwenye kushindana na hali iliokuwa ikiendelea katika mwili wake.
“Hapana leo siwezi kulala hivi hivi bila kukutana na mwanamke , lazima nitafute kahaba yoyote yule niende nae Geto”Aliongea Roma huku akiongeza mwendo , alionekana alikuwa ni mwenye hisia kubwa sana ya kufanya mapenzi , na alichodhamiria katika kichwa chake ndio alipanga kukitimiza kwa namna yoyote ile , kwani kitendo cha kuingia kwenye chumba cha Rose na kumuona akiwa nusu Uchi kilikuwa kimemfanya kuwa na hisia kubwa sana za kufanya mapenzi.
“Rose ni mwanamke ambaye sitaki kabisa kujihusisha nae , hapana siwezi kuwa naye katika mahusiano kwa sasa ni mapema mno , bado sijiamini”Aliongea Roma na wakati huu alikuwa mbele kabisa ya jengo ambalo ambalo lilikuwa na maandishi ya JR Hotel.
Hii ni hoteli ambayo ilikuwa ikisifika sana kwa eneo hili kwa kuwa na warembo wa bei ghali kuliko maeneo yoyote , ilikuwa ni hoteli lakini ilikuwa na Bar kubwa pamoa na Casino , lakini pia ilikuwa ikiruhusu machangudoa kuingia ndani ya hoteli hio na kutoa huduma kwa wateja kwa kiingilio maalumu.
Roma hapo ndio mahali ambapo aliona anaweza kutatua shida yake , japo bwana huyu alikuwa amekunywa bia nyingi Club B lakini alionekana hakuwa amelewa , kwani mwendo wake haukuonekana wa kilevi hata kidogo.
Lilikuwa ni eneo tulivu sana ndani ya hili eneo ambalo lilikuwa na harufu mbalimbali za mchanganyiko , Roma baada ya kuingia ndani ya eneo la Bar alianza kuangaza macho yake upande wa kulia kushoto na mbele kutafuta kitoeo kwa ajili ya usiku huo , licha ya muonekano wake kuwa wa kimasikini , lakini hakuna aliekuwa akimali kwani kila mtu alikuwa kwenye starehe zake.
Ndani ya sekunde chache tu za kukagua eneo hili hatimae alivutiwa na meza moja ambayo ilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa amezika kichwa chake kwenye meza huku nywele zake ndefu zikiwa zimemfunika kwa mtindo wa kutapakaa na kufanya sura yake ishindwe kuonekana vizuri , huku juu ya meza ya kukionekana kuna bia zilizotapakaa pamoa na glasi nusu iliojaa juisi.
Roma alitabasamu na kuona sasa amepata tageti yake ,alisogea mpaka kwenye meza na kisha aliona mkoba wa mwanamke huyu ukiwa juu ya kiti pembeni , huku mita kadhaa kwenye meza nyingine kulionekana wanaume watatu waliokuwa wakinywa bia tararibu taratibu , lakini macho yao yote yalikuwa kwa Roma ambaye alikuwa akisogelea meza iliokuwa mbele yake. Wanaume hawa walionekana pia walikuwa wakimmezea mate mwanamke aliekuwa amezika kichwa chakekwenye meza.
Roma hakutaka kuwajali wanaume hao , kwani kumuangalia kwao aliona ni kwasababu ya wao kushindwa kupata ujasiri wa kukaa katika meza hio , jambo ambalo kwake aliliweza , hivyo baada ya kuvuta kiti , aliaribu kumsh*tua mwanamke huyo , lakini hakukuwa na majibu yoyote kwani bdada huyo alionekana kuwa yupo kwenye usingizi mzito sana.
Roma alishika kichwa cha huyo mwanamke huku akijaribu kuzikusanya nywele zake zote na kuziweka upande mmoja kwa ajili ya kuangalia sura ya mwanamke huyo.
“Mh! ,Leo nadhani bahati imeniangukia , huyu mrembo ni kisu Zaidi ya Rose , usiku wangu unaenda kuwa wa kipekee”Alijiongelesha Roma kwa namna ya kujipongeza huku tabasamu likiwa limepamba uso wake, na baada ya k**a dakika mbili tu alifanya maamuzi ya kumuinua mwanamke huyo na kisha alichukua mkoba wake uliokuwa juu ya meza na kuuvaa k**a mwanamke na kisha alimnyanyua mwanamke huyu ambaye kwake alikuwa ni kahaba tu na kisha alimuweka begani na kuanza kupiga hatua kuelekea nje , hakutaka kubaki ndani ya hoteli hii na kuchukua chumba kwani hakuwa na hela hio ya kulipia hivyo mahali sahihi alipoona panamfaa ni geto kwake Bias.
Wakati yeye anafanya hayo watu waliokuwa ndani ya hili eneo , walikuwa wakimshangaa sana Roma kwa kitendo hicho , lakini hakuna hata mmoja alieongea mpaka pale wanamuona Roma akitoka kabisa ya Mlango , lakini wakati Roma akitokomea nje mabwana hawa watatu waliokuwa kwenye Meza ya mbele ni k**a walish*tuka.
“Sh*t Huyu fala ni nani anaejiamini kwa namna hii , anatuharibia mpango wetu , mfateni haraka kabla hajaenda mbali na mchukueni yule mrembo na mleteni kwenye chumba changu”Aliongea mwanaume mmoja ambae alionekana kuwa ni kiongozi katika kundi la watu hao, kisha alinyanyuka huku wale vijana watatu na wao wakinyanyuka na kutoka nje kwa haraka sana.
Roma baada ya kutoka nje haraka aliita Bajaji na kisha alimwingiza mwanamke yule ambaye alikuwa kahaba kwenye macho ya Roma , baada ya kumpandisha na yeye aliingia na kisha bajaji ilitoka na kuingia barabarani , lakini wakati huo huo Gari aina ya Lexus Dualis nyeusi , iliunga nyuma na kuifatisha bajaji aliokuwa amepanda Roma .
Muda huu magari hayakuwa mengi sana , lakini vijana waliokuwa wakiendesha gari hii , walionekana kuwa makini kutokuvunja sharia za barabarani , kwani waliogopa kusababisha ajali.
Wakati yote haya yakiendelea ilikuwa ni usiku k**a wa saa nane hivi , mwendesha bajaji hakuwa ni mwenye kujali gari iliokuwa ikiwapigia honni nyuma yake na hii yote ni kutokana na Roma kumwambia aachae nayo na azidi kuendesha kwa kasi.
Dereva wa bajaji alionekana kuijua mitaaa vizuri ya Eneo hili la Chalambe Rangi tatu kwani baada ya kutembea mita chache aliingia chocho na kuendelea na safari , kitendo ambacho kwanza kilimfurahisha Roma , lakini pia kilifanya gari ambalo ilikuwa ikiwafata nyuma kushindwa kuingia chocho ambayo bajaji hio ilikuwa imeingia , na kwenda kusimamisha gari mbele huku wakitoa matusi.
“Amosi hatuwezi kuingia na gari huku kwenye vichochoro inabidi tutembee kwa miguu chapu , tusije kuwapoteza ikawa shida kwetu na bosi”:Aliongea jamaa mmoja aliekuwa na nywele za marasta aliekuwa akifahamika kwa jina la Jose.
Baada ya wawili hao kukubaliana walitoka haraka na kuingia chocho kwa kufukuzia bajaji , lakini walikuwa wameshaipoteza kwani walionekana kuwa sio wenyeji wa haya maeneo hivyo , walishinda kujua uelekeo.
“Shi**t Boss leo atatuaa”Aliongea Amosi huku akishika kiuno.
“Hakuna namna turudi tukamueleze halihalisi”Aliongea Jose huku wakigeuka na kurudi barabarani.
Upande wa Roma alikuwa ni mwenye kupandwa na hisia kilia alipokuwa akinusa harufu nzuri ya mrembo aliekuwa kwenye mikono yake.
“Bosi Huyo mtoto ni balaa , k**a ni demu wako umepata demu”Aliongea mwendesha bajaji mara baada ya kuwafikiasha Roma mbele ya geti jekundu na Roma hakumjibu Zaidi ya kutabasamu na kisha alitoa buku na kumpatia muendesha bajaji na kisha alimbeba mrembo wake begani na kisha kufungua geti dogo na kuingia ndani.
Baada ya kuingia kwenye chumba chake hakutaka kufanya jambo lingine Zaidi ya kufanya kile alichodhamiria , alimwangalia mrembo aliekuwa juu ya godoro lake alilotandika chini na kisha akatabasamu na kuanza kuvua nguo , baada ya kumaliza alimtoa nguo moja moja mwanamke aliekuwa mbele yake na kisha alimuweka kwenye mkao mzuri na kutoa mhogo wake na kuupaka mate na kisha aliulengesha sehemu husika , na kilichosikika ni mguno ambao kwake hakujua ni mguno wa maumivu kutoka kwa mwanamke huyo au ulikuwa wa utamu , kwani bidada huyo bado hakuwa akijitambua.
Roma alifanya kwa muda mrefu kidogo Zaidi ya dakika sitini mpaka pale aliposhusha mzigo wake huku akihema kwa nguvu na kujilaza pembeni ya mrembo huyo na kupitiwa na usingizi moja kwa moja.
Ilikuwa ni saa kumi na mbili na nusu ndio muda ambao Roma alish*tuka kutoka usingizini , aliangalia saa kwa kutumia simu yake ya kitochi na kuona siku hio alikuwa amelala kuliko isivyokawaida , baada ya kurudisha simu yake chini ya sakafu alimgeukia mrembo wake aliekuwa pembeni yake akiwa amelala bado .
“Siawahi kudhania naweza kupata kahaba mrembo k**a huyu sehemu k**a JR Hotel”Aliongea Roma huku akiwa anamwangalia mwanamke mrembo aliekuwa mbele yake , lakini wakati akiendelea kuwaza mara mlango uligongwa kwa nguvu kitendo ambacho kilimfanya mwanamke mrembo kush*tuka kwa nguvu na kukaa kitako , huku akiwa ni mwenye kushangaa eneo alilokuwepo , alimwangalia Roma na kuona ni mtu ambaye hakuwa akimtambua , alijiangalia na kujiona hana nguo na haraka haraka , alijifunika kwa kipande cha shuka huku akianza kuvuta kumbukumbu kitendo amhacho kwa dakika mbili tu mboni za macho yake zilijaa machozi , wakati huo Roma hakuwa akijua kinachoendelea nyuma yake kwani alikuwa akiongea na Juma nje.
Baada ya kurudi ndani alimuona mwanamke kahaba mrembo akiwa tayari ashavaa nguo zake zote huku akiwa ni mwenye kutafuta kitu.
“Hey ! Mrembo unahangaika kutafuta nini?”Aliongea Roma huku akisogea mpaka ilipokuwa suruali yake na kuinyanyua na hapo mwanadada huyo aliona alichokuwa anatafuta , ilikuwa ni nguo yake ya ndani ambayo aliichukua kwa haraka na kisha aliingiza kwenye mkoba wake na kisha bila ya kuongea chochote na Roma alitoka nje ya chumba , huku akimuacha Roma akizubaa , lakini Roma baada ya kuona mrembo yule katoka nje alimkimbilia.
“Hey ! Sista umesahau malipo yako”Aliongea Roma baada ya kutoka huku akikutana na macho ya Najma aliekuwa akiangalia kitendo cha mwanamke mrembo kutoka katika chumba cha Roma , lakini pia akizidi kushangazwa na Roma kutoka na kuanza kumkimbilia yule mdada .
Najma alikerwa sana na kitendo kile na ni k**a moyo wake ulikuwa ukiungua kwa hali aliokuwa akiiona , na hakuweza kusimama Zaidi kwani alikimbilia ndani .
Kwa upande wa Roma ni k**a alichelewa kwani ile anatoka nje tu mwanadada yule alionekana kupanda kwenye bodaboda na kupotea kwenye macho ya Roma.
“Oya kaka una hatari sio poa , kile chombo umekipatia wapi … ndio maana jana sikukuona kumbe ulikuwa na misheni zako”Aliongea Juma ambae alikuwa ni k**a mtu asieamini kile alichokiona , kwani mwanamke yule alikuwa mrembo kiasi cha kwamba hakuwahi kuwaza kumpata katika maisha yake , lakini siku ya leo anamuona akitoka kupigwa bao na Roma.
“Kaka una bahati sana , sio pooa .. yaani una nyota ya kupendwa na warembo”Aliongea Juma pasipo kujibiwa na Roma huku Roma akirudi kwenye chumba chake na Juma baada ya kuona hajibiwi alielekea ndani kwao , huku akiwa ni mwenye kufurahia kitendo kilichokuwa kimetokea asubuhi , kwani alimuona Najma akikimbilia ndani baada ya kuona kila kitu.
“Najma nimekuambia Roma hakufai kabisa , licha ya kwamba ni masikini wa kutupwa lakini pia ni mchafu wa tabia , ulifikiri nitakaa chini nikuruhusu utoke kimapenzi na Roma , sahau na futa katika kichwa chako na nadhani umeona mwenyewe”Aliongea Juma baada ya kuingia kwenye chumba chake na kuongea maneno hayo huku akiamini dada yake atayasikia vyema kwani nyumba yao hio haikuwa na Ceiling Board hivyo sauti ilikuwa ikipita moja kwa moja.
Upande wa Roma baada ya kurudi kwenye chumba chake alitoa shuka la kujifunika huku akidhamiria kwenda kufua lile ambalo ni la kutandika , lakini mara baada ya kutoa shuka hilo , alijikuta akitoa mshangao , wa doa kubwa lililokuwepo kwenye shuka lake hilo la rangi ya kijivu.
“Hii si damu hii… ina maana yule mwanamke alikuwa Bikra .. hahaha.. nafikiria ujinga tangu lini kahaba akawa bikra , inaonekana alikuwa kwenye siku zake za mwezi .. hehehe.. nimeweka historia ya kumbandua mwanamke akiwa kwenye Period”Alijiongelesha Roma huku akiweka tabasamu lake la kifedhuli huku akinusa harufu ya marashi iliokuwa kwenye mashuka yale na kutabasamu.. huku akijiona mwepesi sana kwa siku hio.
GONGA LIKE CHAP TUENDELEE
LIPIA BUKU MBILI KUJIPATIA VIPANDE 40 WENYE SIMU NDOGO WANITAFUTE KUPITIA 0694950264
WALE WA WHATSAPP 0754806945

Address

Bagamoyo, Pwani
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania fursa yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share