10/07/2022
Okay huyu ASJ ni kampuni ya brokerage ya forex trading k**a vile kampuni zingine k**a vile deriv na templer. Forex trading inahitaji mda wa kupata ujuzi wa kuchambua soko la fedha ndipo kufanya entry ya mauzo au kununua ili kupata faida. Kampuni hii ya ASJ imerahisisha kwa kutoa signal mda ghan wa kuingia na kutoka na kukuhakikishia unapata faida ya asilimia 3 mpaka 4 ya mtaji wako kwa siku za kazi za wiki yaani jumatatu mpaka ijumaa. Kisha kampuni hii hukata commission kwenye faida unayotengeneza kwaio hamna wasiwasi kujua kampuni hii inapataje faida.
K**a unaswali au haujaelewa Sehemu tuwasiliane.💪🏾
MUSKI MO