10/11/2025
Katika kipindi hiki cha majonzi kitaifa, AICL tunatoa salamu za rambirambi kwa familia na jamii zote zilizoathirika na tukio hili la kusikitisha nchini Tanzania.
Tunaomba Mungu awape faraja, nguvu, na amani wale wote walioguswa na kuumia.
Mungu aibariki na kuiponya nchi yetu kwa umoja, matumaini, na upendo. π―πΉπΏ