Y9Microfinance

Y9Microfinance Y9 is a Microfinance provider offering digital and financial inclusion through device financing.

Y9 Microfinance inatambua mchango mkubwa wa wafanyabiashara katika kukuza uchumi wa taifa.Tupo bega kwa bega na wewe kat...
07/07/2025

Y9 Microfinance inatambua mchango mkubwa wa wafanyabiashara katika kukuza uchumi wa taifa.
Tupo bega kwa bega na wewe katika safari ya mafanikio.



Eid Mubarak kutoka familia ya Y9 Microfinance! Tunawatakia wateja wetu na jamii nzima Sikukuu Njema yenye baraka tele.  ...
07/06/2025

Eid Mubarak kutoka familia ya Y9 Microfinance! Tunawatakia wateja wetu na jamii nzima Sikukuu Njema yenye baraka tele.


Tunapanga kuhamia ofisi mpya hivi karibuni, lakini tutaendelea kuwahudumia k**a kawaida hadi tutakapowajulisha rasmi.
07/05/2025

Tunapanga kuhamia ofisi mpya hivi karibuni, lakini tutaendelea kuwahudumia k**a kawaida hadi tutakapowajulisha rasmi.


Mei Mosi ni siku ya kutambua mchango wa kila mfanyakazi. Kwa pamoja, tunajenga msingi wa maendeleo na ustawi wa jamii.  ...
01/05/2025

Mei Mosi ni siku ya kutambua mchango wa kila mfanyakazi. Kwa pamoja, tunajenga msingi wa maendeleo na ustawi wa jamii.



Umoja wetu ndio msingi wa maendeleo yetu. Tuiadhimishe Siku ya Muungano kwa fahari na matumaini.
26/04/2025

Umoja wetu ndio msingi wa maendeleo yetu. Tuiadhimishe Siku ya Muungano kwa fahari na matumaini.



Katika sikukuu hizi za Pasaka, tunawatakia wateja wetu na wafanyakazi wote Heri ya Pasaka. Asanteni kwa kuendelea kuwa s...
20/04/2025

Katika sikukuu hizi za Pasaka, tunawatakia wateja wetu na wafanyakazi wote Heri ya Pasaka. Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu muhimu ya safari yetu.



Tunawatakia Ijumaa Kuu yenye tafakari, utulivu, na baraka. Hii ni siku ya kutafakari juu ya upendo, kujitoa na matumaini...
18/04/2025

Tunawatakia Ijumaa Kuu yenye tafakari, utulivu, na baraka. Hii ni siku ya kutafakari juu ya upendo, kujitoa na matumaini mapya.



Aliamini katika umoja, akapigania haki, na akaacha alama isiyofutika. Leo tunasherehekea maisha na mafanikio ya Rais wa ...
07/04/2025

Aliamini katika umoja, akapigania haki, na akaacha alama isiyofutika.
Leo tunasherehekea maisha na mafanikio ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Abeid Amani Karume.



Eid Al Fitr Mubarak!! Tusherehekee na kufurahia sikukuu hii kwa upendo na baraka.
31/03/2025

Eid Al Fitr Mubarak!! Tusherehekee na kufurahia sikukuu hii kwa upendo na baraka.



Leo tunasherehekea nguvu, uthabiti na mafanikio ya wanawake! Kwa pamoja, tuendelee kuimarisha haki, usawa, na uwezeshaji...
08/03/2025

Leo tunasherehekea nguvu, uthabiti na mafanikio ya wanawake! Kwa pamoja, tuendelee kuimarisha haki, usawa, na uwezeshaji kwa kila mwanamke.



Tunawatakia mwezi mwema wa Kwaresma!
05/03/2025

Tunawatakia mwezi mwema wa Kwaresma!



Ramadhan Kareem!!
02/03/2025

Ramadhan Kareem!!



Address

First Floor, Marbgrant Building, Plot 22, Cocacola Road, Mikocheni Light Industrial Area
Dar Es Salaam
00000

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255750111999

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Y9Microfinance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share