tarangire_boy_tz

tarangire_boy_tz ULINZI WAKO BIMA YAKO

03/04/2026

Celebrating my 6th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa UZIMA na AFYA njema. Imani yangu kwenu ni wazima na mko poa kabisa, ...
03/02/2024

Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa UZIMA na AFYA njema. Imani yangu kwenu ni wazima na mko poa kabisa, mungu awabariki. K
Leo ningependa kuzungumzia bima kwa ujumla.

Je, bima ni Nini?
Bima ni makubaliano ya kimkataba kati ya pande mbili ambazo ni mtoa bima (insurer ) na mpokea bima (insured) kwa lengo la kuhamisha majanga au hasara kutoka kwa mpokea bima kwenda kwa mtoa bima kwa kuzingatia kiasi kidogo Cha pesa (premium) k**a fidia ya ulinzi wa Mali yako. Kuna aina nyingi sana za bima mbali na hizo zinazofahamika sana k**a bima za Magari, Afya, Nyumba na Moto.
Bima ni miongoni mwa tiba asilia za chanzo Cha maradhi mbalimbali yatokanayo na msongo wa mawazo k**a vile;
~presha
~Madonda ya tumbo
~Mish*tuko
~Magonjwa nyemelezi ya moyo n.k

Je, ulishawahi kujiuliza kuhusu umuhimu wa bima!!??

Lahasha, k**a Bado hujachelewa na k**a tayari majibu yake ni k**a yafuatayo;
~Humlida mtu dhidi ya majanga yote aliyokatia bima k**a ajari, wizi, moto na mengineyo
~Humpa mtu amani na kuondoa wasiwasi juu ya majanga yanayoweza jitokeza kwenye Mali zake na kumpatia hasara
~humpa mtu uhakika wa kuendelea kumiliki kitu au Mali yake aliyokuwa nayo kabla ya janga au hasara
~Humpa mtu urahisi wa maisha kwa ujumla mfano bima ya Afya kwa mwenye nayo na Imani hajutii
Kwa hayo machache na Imani kila mtu amepata chochote kitu kuhusu bima. Hivo nipende kuwakalibisha kwa mwenye nahitaji ya bima yeyote Ile

Mawasiliano:
0656462496

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00

Telephone

+255656462496

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tarangire_boy_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to tarangire_boy_tz:

Share