NTEYE MONEY PACK

NTEYE MONEY PACK TUNAUZA GESI AINA ZOTE
TUNAUZA VIFAA VYA GESI
TUNAUZA MAJIKO YA GESI

USAFIRI NI BURE MPAKA NYUMBANI

Happy valentine dayAll customers
13/02/2022

Happy valentine day
All customers

Happy new month to you all
31/01/2022

Happy new month to you all

05/01/2020

je wewe unaelewaje juu ya msemo unaosema "FURSA NI K**A EMBE PINDI UNASUBULI LIIVE ULE WENGINE WANAKULA KWA CHUMVI🤝

30/12/2019

mwaka 2019 ndo unaelekea ukingomi kwetu wajasiliamali ni muda mzuri wa kutafakali mafanikio na changamoto zinazojitokeza kwenye mazingira ya biashara zetu ili kujuwa nini tufanye 2020 na kuweka mpango mkakati mzabuti na ubunifu kwa mwaka 2020
kumbuka
"entrepreneurship is a room for innovations"

17/06/2019

Swal letu leo je ukipewa 2 million utafanya biashara gani nchini tz .

MAJI NA BIASHARA                     ... Maji ni muhim sana kwa binadam na wanyama. Kwa kutambua hilo Wafanya biashara n...
29/12/2017

MAJI NA BIASHARA ... Maji ni muhim sana kwa binadam na wanyama. Kwa kutambua hilo Wafanya biashara na wajasiliamali wengi wamewekeza kwenye usambazaji na uuzaji wa maji mfano mzuli ni wazalishaji wa maji ya AFYA. Pia Wafanya biashara wa dogo nao wanajishughulisha na uuzaji wa maji majumbani kwa matoroli, pia maji ya kandoro kwa mkoa wa Dar es salama na maeneo jilan. Hivyo MAJI NI AJILA wa tanzania tutumie maji k**a malighafi kutoka a na umuhim wake kujipatia kipato na kutoa ajira kwa vijana wengi

Mali bila daftari huisha bila habali
18/09/2017

Mali bila daftari huisha bila habali

Address

Magomeni
Bagamoyo

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 23:00
Saturday 07:00 - 23:00
Sunday 07:00 - 23:00

Telephone

+255744389579

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NTEYE MONEY PACK posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share