Udea Saccos

Udea Saccos UDEA SACCOS LTD ni chama cha kuweka na kukopa kilichoanzishwa mwaka 2006 na wanachama,kikiwa na usajili wa namba AR 453. KARIBU TUKUHUDUMIE

Habari kwa wakazi wote wa arusha, udea saccos inakupatia fursa kwa mara nyingine ya kumiliki viwanja,usikubali kupitwa n...
26/09/2016

Habari kwa wakazi wote wa arusha, udea saccos inakupatia fursa kwa mara nyingine ya kumiliki viwanja,usikubali kupitwa na hii fursa.

FURSA YA KUMILIKI ARDHI
02/06/2016

FURSA YA KUMILIKI ARDHI

25/05/2016
UDEA SACCOS LTD ni Chama cha Kuweka Akiba na Kukopa kilichoanzishwa mwaka 2006-March chenye Namba ya usajili AR 453 ni c...
12/04/2016

UDEA SACCOS LTD ni Chama cha Kuweka Akiba na Kukopa kilichoanzishwa mwaka 2006-March chenye Namba ya usajili AR 453 ni chama kinachomilikiwa na Wanachama wenye lengo kuu la kujikwamua kiuchumi kwa kujipatia huduma bora na nafuu kabisa.
UDEA SACCOS LTD Inahudumia watu wa makundi mbalimbali ikiwemo wajasiriamali na wafanyakazi haswa wale wa Sekta binafsi.
Tunapatikana Arusha,Kata ya Oloirieni karibu kabisa na Kiwanda cha Banana Investment Ltd
KARIBU UHUDUMIWE NA CHAMA CHAKO

Address

Arusha
P.OBOX16437

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Udea Saccos posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Udea Saccos:

Share