Daniel Martin Kimbulu

Daniel Martin Kimbulu Ni mwaka wa uchaguzi kwa maendeleo ya nchi yetu

13/07/2024

VIWANJA LAKI 9
Viwanja vyetu vimekatwa kisasa barabara za mitaa maeneo ya kisesa , Fumagila,kona ya Fela safi huduma zote muhimu zimefika k**avile.
( A ) Hospital✓
( B ) Umeme✓
( C ) Shule✓
( D ) maji✓
( E ). Soko✓
( F ) barabara✓ n.k

🎯amka usingizini ndugu
Fanya Huu uwekezaji
Njoo tukuuzie viwanja kwaajili ya makazi
Hatua 20 ×20 kwa laki 900,000

Kumbuka Viwanja vilivyonunuliwa 50,000 isamilo, capripointi na kirumba enzi za wazee wetu kwasasa vina thamani ya mabilion

@ kuja saiti kuona ni buree
@ hati zipo unapata baada ya malipo
@ biashara zote zinafanyika serikali za mitaa
0756278743/0775278743

20/06/2024

Unahitaji eneo la kujenga au kuwekeza ndani ya jiji la Mwanza, karibu utuone tukuhudumie.
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp au kupiga kupitia 0756 278 743

21/06/2022
*Waefeso 4:31-32*Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya;...
12/01/2022

*Waefeso 4:31-32*

Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya; tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane k**a na Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.

K**a kungekuwa na course au chuo cha kusomea kwa nafasi ya urais, hakika Dr.John Pombe Magufuli angekuwa afuzu na kufaul...
20/11/2019

K**a kungekuwa na course au chuo cha kusomea kwa nafasi ya urais, hakika Dr.John Pombe Magufuli angekuwa afuzu na kufaulu kwa ufaulu wa hali ya juu sana, ukimtazama namna ya utendaji wake utadhani ni mtu aliyeandaliwa kwa zaidi za miaka 50 iliwaze kuwa Rais.

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daniel Martin Kimbulu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share