03/06/2026
“Serikali inapaswa kurahisisha mfumo wa kodi na kuufanya uwe wa kueleweka na wa kutabirika ili kupanua wigo wa kodi na kuongeza mapato. Kila mwaka sera na viwango vya kodi hubadilika, jambo linalowachanganya walipakodi. Sera ya Kitaifa ya Kodi ililenga kurahisisha mfumo huu na kuufanya uwe thabiti, hatua inayoweza kusaidia sekta muhimu k**a biashara ndogo za MSMEs ambazo zinaajiri Wakenya wengi.”
— Kennedy Mutisya, CFO, Kenya Bankers Association