04/05/2026
Haujasoma sera yako ya bima? Claim yako inaweza kuathirika bila wewe kujua. Kuelewa masharti, vifuniko na vitu vinavyopunguzwa ni muhimu ili kuepuka kukataliwa kwa madai yako. Usisubiri hadi tatizo litokee—chukua muda kujua haki na wajibu wako.
Online Advisors Insurance Agency Ltd tupo kukusaidia kuelewa sera yako kwa uwazi ili uwe salama kila wakati.