22/09/2026
Kwa KSh 2,500 tu, unapata taarifa za nutrients kwenye udongo wa shamba lako, hasa NPK, pamoja na pH na soil moisture. Na tofauti na traditional soil test ambapo unapata results mara moja tu, hii inakupa continuous results na inapima tofauti za udongo katika shamba lote, hivyo utaweza kujua hali ya kila sehemu ya shamba.
Pia itakupa taarifa kuhusu wadudu na magonjwa ya mimea, itakushauri ni fertilizer gani utumie, na itakupa updates za weather ili uweze kupanga shughuli za shamba vizuri. Piga simu kwa 0113 644702 kujisajili na kupata maelezo zaidi.