04/07/2026
Mwanamke ukiolewa
acha kusema eti na enda kusalimia kwetu
kwenu wapi? Kwako si kwa mumeo hapo ndipo kwenu?
Bibilia ina sema
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume
atamwacha baba yake na mama yake
naye ataambatana na mkewe,
nao watakuwa mwili mmoja.
Zaburi 45:10
[10]Sikia, binti, utazame,
utege sikio lako,
Uwasahau watu wako
na nyumba ya baba yako.
Kwahiyo kwenu ni kwa mumeo Hatajina lako lifuatane na la mumeo hapo ndipo kweli umetegwa kabisa umesadiki kukaa na mumeo.
Mwanamume kwenu ni kwa mkeo siyoo kwa mama yako acha ujinga.
kila kitu mama kila kitu ngoja niongeee na mama k**a jinga fulani hivi!!!
Panga mambo ya familia na mke wako siyo mama yako acha utapeli.
Na kwa nini mwanamume
una mke halafu mambo ya kufanya wewe na mkeo
una msikiliza mama yako kwakila kitu?
na una amriwa na mama yako kwenye mambo ya familia yako? Kwanini mke hana nafasi kwako ila mama yako?
Na unakuta lina jiitaa lime okoka toka hapaa!!!. kwenda huko huna hakili wewe!!!!!.
Kwanini unashirikisha mama yako badala ya mkeo?
Sasa kwanini uliowa k**a bado ulitaka mama yako?
MUNGU asema
nitakuletea msaidizi
Mwanzo 2:18
[18]BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
msaidizi unae lakini bado una enda kwa mama yako WHY???
Na wanawake wengine wajinga wakipata pesa wana peleka kwao sasa usaidizi wako ukowapi hapo? Una malengo gani na ndoa ya wewe na mumeo k**a kuna pesa na mali unaficha??
Kumbe wewe!!! Kuna maisha mengine unaya andaa wewe!!!! Ahaaaaa ndiyo maana una anza kuleta kiburi kwa mumeo kumbe una malengo yakutoka kwa ndoa pesa zako umeficha unajenga nyumba kwa siri na una shirikiana na ndugu zako na mama yako kufanya maisha mengine.
Ila kaaa ukijua MUNGU ana sema hivi:
Waefeso 5:22-23
[22]Enyi wake, watiini waume zenu k**a kumtii Bwana wetu.
[23]Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, k**a Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Waefeso 5:24
[24]Lakini k**a vile Kanisa limtiivyo Kr