06/10/2023
Jambo Mwanachama,
HAPPY CUSTOMER-SERVICE WEEK.
Twasubiri kukupa huduma bora kila wakati. Unaweza kutuma maombi ya bidhaa zetu za mkopo za muda mfupi ili kutatua mahitaji yako ya kifedha. Kwa usaidizi juu ya udhamini kuwa huru kutembelea au kuwasiliana nasi kwa ofisi zetu KAMBU kupitia 0705411843 au 0725491101.